Mstahiki Meya wa Manispaa 1ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi David Nkulila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Agosti 23,2021 saa 11 alfajiri wakati akiendelea kupatiwa matibabu kutokana na kuugua kwa muda mrefu.
R.I.P Nkulila
0 comments:
Post a Comment