Leo Julai 23,2021 Mwandishi wa Habari na Mtangazaji maarufu wa Kituo cha Matangazo Radio Faraja Fm Stereo, Josephine Charles anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Malunde 1 blog inaungana na Wasikilizaji na wadau wa Josephine Charles akisherehekea miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake.
Happy Birthday Josephine Charles

0 comments:
Post a Comment