Wednesday, 31 March 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI APRILI 1, 2021

Magazetini leo Alhamis April 1 2021 R ...
Share:

RAIS SAMIA AMTEUA BALOZI YAHAYA KATTANGA KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUCHUKUA NAFASI YA DK. BASHIRU

Balozi Hussein Yahaya Kattanga ** Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali na kushika nafasi ya...
Share:

DK. PHILIP MPANGO AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA

Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor Mpango akiapa kuwa Makamu wa Rais mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma, leo Ikulu Chamwino jijini Dodoma.Uapisho huo umeshuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan....
Share:

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri. ...
Share:

MCHINA AKAMATWA KWA KUWACHARAZA VIBOKO MADEREVA WAILI

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia raia wa China Xiao Yong (33) kwa tuhuma za kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko madereva wawili kwa madai ya kutumia fedha walizopatiwa kupeleka wilayani Kyela kwenye mashine za mchezo wa kubahatisha. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Urlich Matei jana Jumanne...
Share:

MWILI WA BIBI WA OBAMA WAZIKWA KENYA

Sarah Obama ambaye ni Bibi wa Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama, amezikwa jana Machi 30,2021 nyumbani kwake Kogelo, Siays nchini Kenya. Mazishi hayo yamehudhuriwa na watu 100 tu  kutokana na marufuku mpya iliyotangazwa ya kupambana na ugonjwa wa Corona. Sarah Obama alifariki juzi akiwa...
Share:

Assistant Environment Officer at UNHCR

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Eligible Applicants This Job Opening is available to eligible UNHCR staff members and external applicants. Procedures and Eligibility Interested applicants should consult the Administrative Instruction on Recruitment and Assignment of Locally Recruited Staff (RALS). Applicants must...
Share:

Head Of Finance at Bank of India

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Bank of India is a leading Public sector Bank in India and completed 114 years in 2020. It has network of over 5000 Branches in India and 60 Overseas Branch/Offices across the globe in all important centres .Bank of India (Tanzania) Ltd, is a fully owned subsidiary of Bank of India,...
Share:

BLOGGER SHAMIMU MWACHA NA MMEWE WATUPWA JELA MAISHA

Mahakama Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu blogger Shamimu Mwasha (41), na mume wake Abdul Nsembo, maarufu kama Abdulkandida (45) kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
Share:

AJALI YA BASI YAUA WATU SITA NA KUJERUHI 19

Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Machame Investment lililokuwa likitoka jijini Dodoma kwenda Moshi kupata ajali kwenye kijiji cha Kiongozi wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishina Msaidizi Mwandamizi Paul Kasabago...
Share:

Assistant Records Management Officer II at Maswa District

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Assistant Records Management Officer II at Maswa District March, 2021. Maswa District is one of the five districts of the Simiyu Region of Tanzania Inhabited by Sukuma. It is bordered to the north by Magu District and Itilima District, to the east by the Meatu District, to the south...
Share:

JITIBU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA FULL POWER.. UUME MDOGO ZAT 50 NDIYO SULUHISHO

Zati 50 Full Power Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume: ⇒Ngiri, ⇒Henia ⇒Kisukari ⇒Tumbo kujaa gesi ⇒Kutopata choo vizuri ⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu ⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi ⇒Msongo wa mawazo  ⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni...
Share:

Chief Operating Officer (COO) at SAT Holistic Group Limited

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content SAT Holistic Group Limited is a social business which is engaged in collaborating with an organic small-scale farmers network of 3500 farmers, with upgrading and selling their products to the domestic and international market. The social business SAT Holistic Group Limited is affiliated...
Share:

Monitoring and Evaluation Intern at SNV

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries in Asia, Africa, and Latin America. Our global team of local and international advisors works with local...
Share:

E-Commerce Specialist at Sea Cliff Hotel Tanzania

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content E-Commerce Specialist Location: Dar es Salaam, Tanzania Job Title: E-commerce Specialist We are currently looking for an energetic and passionate E-commerce Executive To assist E-Commerce Team to manage 3rd Party, website extranet in term of:- Open/close as hotels request...
Share:

Engineering Services Manager at Unilever

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Business Context and Main Purpose of the Job This role has the overall responsibility for managing all sourcing unit engineering projects and has total responsibility for maintenance, including utilities, production lines, processing plants, irrigation equipment, power line infrastructure,...
Share:

Security Investigator at U.S. Embassy Dar es Salaam

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position below. Position Title: Security Investigator Vacancy Number: DaresSalaam-2020-009   Summary: The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position...
Share:

Security Investigator (Senior) at U.S. Embassy Dar es Salaam

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position below. Position Title: Security Investigator (Senior) Vacancy Number: DaresSalaam-2020-013 Announcement Number: DaresSalaam-2021-013 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Security...
Share:

Manufacturing Team Leader at Coca-Cola Kwanza

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Reference Number CCB210329-3 Job Title MANUFACTURING TEAM LEADER Function Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Mbeya Job Description Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting...
Share:

Process Controller at Coca-Cola Kwanza

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content Reference Number CCB210329-2 Job Title PROCESS CONTROLLER Function Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Mbeya Job Description Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MACHI 31,2021

...
Share:

Tuesday, 30 March 2021

DKT. PHILIP MPANGO KUAPISHWA KESHO KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA

...
Share:

KAULI YA DKT. MPANGO BAADA YA KUTEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA

Aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango ambaye ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemshukuru Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kusema amepigwa na butwaa na hakuwahi kuota. ''Namshukuru Rais Mhe. Samia Suluhu kwa kupendekeza jina langu na kuridhiwa na chama...
Share:

KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA CHAFANYIKA LEO JIJINI DODOMA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 30,2021 ameshiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambacho ni kikao Maalum kinachoendelea Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Jijini...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger