Background The UN Resident Coordinator’s Office (RCO) in Tanzania supports the Resident Coordinator in promoting attainment of the Sustainable Development Goals and the Africa Agenda 2063. It provides strategic guidance and coordination assistance for the design and delivery of the UN’s Cooperation Framework, UN Development Assistance Plan 2015-2022 (UNDAP II). Under the direct guidance and […]
The...
Thursday, 31 December 2020
Technical Lead, Family Planning at Americares
TITLE: Technical Lead- Family Planning (TL-FP), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project DEPARTMENT: International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH: 24-months with possibility to...
Technical Lead, Maternal, Neonatal and Child Health at Americares
TITLE: Technical Lead- Reproductive Maternal Neonatal and Child Health (TL-MNH), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT: International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH: 24-months with...
Monitoring, Evaluation and Learning Specialist at Americares
TITLE: Monitoring, Evaluation, and Learning (MEL) Specialist, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT: International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH: 24-months with the possibility...
Technical Lead-Community Engagement and Social Behavior Change (TL-CES) at Americares
TITLE: Technical Lead-Community Engagement and Social Behavior Change (TL-CES), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT: International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH: 24-months with...
Finance Officer at BRAC
Overview BRAC is one of the world’s largest development organisation having extensive development programmes globally. BRAC’s vision is a world free from all forms of exploitation and discrimination where everyone has the opportunity to realise their potential. We use an integrated model to change systems of inequity through social development programmes, humanitarian response, social enterprises,...
UONGOZI WA MALUNDE 1 BLOG UNAWATAKIA WASOMAJI & WADAU WAKE HERI YA MWAKA MPYA 2021

Tunawashukuru sana wasomaji na wadau wa Malunde.com kwa ushirikiano mkubwa mliotuonesha katika mwaka 2020 na kuifanya Malunde 1 blog kuwa Blog Bora yenye kuaminika kwa habari na matukio ikiwa na watembeleaji zaidi ya Milioni 49 na Laki 7 hadi kufikia Desemba 31,2020.
Tunawaomba ushirikiano...
YANGA SC YANUSURIKA KUCHAPWA SUMBAWANGA...TANZANIA PRISONS WAILAZIMISHA SARE YA 1-1

VINARA, Yanga SC wameendeleza rekodi ya kupoteza mechi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kulazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Tanzania Prisons Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa.
Kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi 44 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kuongoza...
Uchawi Mbeya : MWANAMKE MWENYE UJAUZITO WA MIEZI 9 AJIKUTA HANA MIMBA

Picha ya mwanamke mwenye mimba.
Taharuki imeibuka kwa wakazi wa kitongoji cha Iyula A katika kata Iyula, wilayani Mbozi, baada ya mwanamke mmoja Mariam Mligo (19) anayedaiwa kuwa mjamzito wa miezi tisa, ujauzito wake kupotea katika mazingira tata muda mfupi baada ya kushikwa na uchungu.
Tukio hilo...
VITA DHIDI YA UKEKETAJI YALETA MAFANIKIO SINGIDA

Baadhi ya vifaa vinavyotumika kwenye Ukeketaji vikisalimishwa na Ngariba aliyetangaza kuachana kazi hiyo
Mmoja wa Wadau wa kupinga vitendo vya Ukeketaji, Patrick Kasango akitoa elimu kwa wananchi
Na Abby Nkungu, Singida
VITA dhidi ya ukeketaji wanawake na watoto wa kike imeanza kuonesha...
Makubwa Haya : JOGOO AGOMA KUUZWA SOKONI
Picha ya jogoo
Wananchi wa kijiji cha Luanda Kaunti ya Vihiga nchini Kenya wameachwa na mshangao mkubwa na kuchanganyikiwa baada ya jogoo anayedaiwa kuibwa katika Kaunti nyingine kukataa kuuzwa licha ya bei yake nafuu.
Mwizi aliyekuwa amemleta jogoo wa kuiba katika soko la Luanda alijikuta katika...
MUUAJI HATARI WA KUVIZIA MAKAHABA AFARIKI DUNIA

Samuel Little, mtu aliyetajwa na shirika la kijasusi la FBI kama muuaji mkubwa wa kuvizia katika historia ya Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80.
Little alifariki dunia katika hospitali ya mjini California siku ya Jumatano, idara ya magereza imesema. Alikuwa akihudumia kifungo cha...
WANAFUNZI 294 WAKATISHA MASOMO YAO DODOMA, SINGIDA

Mtafiti Jacob Kateri akichukua maoni kutoka kwa wadau mbalimbali wa elimu Chamwino, Dodoma.
Mtafiti, Jacob Kateri akifafanua jambo kwa wadau wa elimu katika Halmashauri ya Wilya ya Chamwino, Dodoma.
Na Abby Nkungu, Singida
Jumla ya wanafunzi 294 wamekatisha masomo yao katika shule 20 za msingi...
Rais Magufuli Arejesha Fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Desemba, 2020 amewasilisha fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya viongozi Jijini Dodoma.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike amekabidhi fomu hizo kwa Kamishna wa Maadili, Jaji...
VETA, WADAU WAWEKA MIKAKATI UZALISHAJI WA WATAALAMU MAHIRI WA SEKTA ZA KILIMO, UKARIMU NA UTALII

Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt. Pancras Bujulu akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha kati ya VETA na wadau wa sekta za Kilimo, Ukarimu na Utalii wanaotekeleza programu ya Uanagenzi Pacha (Dual Apprenticeship Training System) iliyofanyika mkoani Manyara tarehe 30 Desemba, 2020.
Balozi wa programu...
Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amesema mtazamo wa Tanzania kwa Bara la Afrika ni kuona linajitegemea kwa kutumia rasilimali zake kufanya maendeleo.
Waziri Kabudi ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wake na Waandishi wa...
Vanessa Mdee avalishwa pete ya Uchumba na Mpenzi wake Rotimi

MWANAMUZIKI wa Tanzania, Vanessa Mdee, amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Rotimi ambaye ni msanii wa filamu ambapo wote kwa sasa wanaishi nchini Marekani.
‘Videos clips’ ambazo zimepostiwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonyesha Rotimi akiwa amepiga magoti mbele ya Vanessa huku akimvalisha...
REA na TANESCO wapewa miezi mitatu kuunganishia wateja Umeme

Na Mwandishi Wetu,
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijjini (REA), kuhakikisha wanawaunganishia umeme wateja wote waliolipia ankara za umeme jijini Mwanza na maeneo ya vijijini ndani ya miezi mitatu...
TAWA Yatoa Ufafanuzi Kwa Wanao Sambaza Taarifa Za Uzushi Kuhusu Simba Aliye Uawa Songwe.

Kufuatia taarifa zinazo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu askari wa mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania TAWA kumuua Simba katika kijiji cha Ngwala wilayani Songwe ili kunusuru maisha ya watu na kuonekana kuwa wamekiuka haki za wanyama na kuleta mjadala katika mitandao ya kijamii...
Wednesday, 30 December 2020
Watoto Watatu Wafariki Dunia Kigoma Baada ya Nyumba Kuteketea Kwa Moto

Wototo wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Nyarugisu wilayani Kasulu mkoani Kigoma, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kigoma, -James Manyama amewataja watoto hao kuwa ni Yumwema Festo na Enifa Festo ambao ni raia kutoka nchi...
TECNO Kuwazawadia Wateja Wa Camon 16 Na Spark 5Pro Nchi 55 Ya TV

TECNO inaendelea kuwapa furaha wateja wake hii ni baada ya kukabidhi zawadi kwa Bwana Ramadhani Salim aliyejishindia mashine yakufulia, Jacquline Kaseja vocha ya manunuzi yenye thamani ya sh.500,000 na mshindi wa TECNO Spark 5pro Zee la Vyeti aliyepatikana kupitia challenge ya iliyofanyika twitter.
Zawadi...
Dkt. Ndugulile Aipa Siku 90 Shirika La Posta Kuboresha Utendaji Na Ufanisi Wake

Na Prisca Ulomi, WMTH
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameipa siku 90 Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuboresha utendaji kazi na ufanisi katika kuhudumia wateja na wananchi kwa ujumla katika shughuli za kila siku za uendeshaji wa Shirika hilo
Dkt.Ndugulile...