UHAMISHO WA WATUMISHI MSM SEPTEMBER 2017
Uhamisho chunya songea watumishi wote SEPTEMBER 2017
Watumishi wa Idara ya Afya Waliohamishwa SEPTEMBER 2017.pdf
MAJINA YA WATUMISHI WALIOHAMISHWA SEPT201...
RAIS John Magufuli amesisitiza azma yake ya kujenga Tanzania mpya,
kwa kutangaza ajira 3,000 katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),
ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kipande cha Morogoro hadi Dodoma na
yeye kuhamia Dodoma mwakani.
Alisema hayo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jana,
baada ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wapya 422 wa jeshi wa
cheo cha Luteni...
Uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu
Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwenye kurasa binafsi
kwa kubofya hapa, Mfumo utafunguliwa tena hivi karibuni kuruhusu awamu ya pili kwa waombaji wapya
na wale wenye sifa lakini hawakuchaguliwa....