INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baadhi ya njia zisizo salama ambazo
hutumika ni spoku za baiskeli, utomvu wa mti wa muhogo, vyuma vyenye
ncha kali na vidonge bila kufuata maelekezo ya madaktari.Utomvu
huo una sumu ya ‘oxytocin’ inayoweza kuharibu mimba na wengine hutumia
vidonge vya “misoprostol” na “morning after” vyenye uwezo wa kuharibu
mimba, ambavyo vinauzwa kiholela katika maduka mengi ya...
Thursday, 23 July 2015
Wednesday, 22 July 2015
Jamani Dada Martha…looh!-24
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI:
Martha kule nyumbani, akakumbuka kwamba alipanga kwenda
kufanya usafi nyumbani kwa Roi, hivyo alijiandaa, akatoka akipanga
kwamba atakapokaribia kufika ampigie simu Roi kumwambia ampitishie
funguo za nyumba.
JIACHIE MWENYEWE SASA…
Aliwaaga wapangaji wenzake akisema anatoka mara moja…
“Jamani natoka, nitarudi lakini,” alisema Martha...
Kemikali zinavyoathiri sehemu za siri za wanawake
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanawake hupenda sana kutumia marashi na vitu vingine kama sabuni zenye kemikali kwa ajili ya kujirembesha.
Baadhi yao wamekuwa wakipenda usafi wao
binafsi wakitumia vitu ambavyo baadhi yake ni hatari kwani wengine
wanapenda kusafisha sehemu zao za siri kwa kutumia sabuni zenye
kemikali,...
Ulisema ukiolewa, ukipata kazi, ukiongezwa mshahara utafurahi; mbona sasa hufurahi?
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Karibu
kila mtu anatafuta furaha kwa njia mbalimbali anazoona zinafaa. Wapo
wanaoamini kuwa wakipata wake/waume, kazi, utajiri, wakijenga nyumba,
wakipandishwa cheo na kufaulu mitihani watafurahi sana.
Lakini tafiti zinaonesha kuwa asilimia
87 ya wanaohangaika kutafuta hayo wanayodhani yatawafurahisha huwa
hawafurahi sawa na...
Mwenye nyumba amchukua mke wa mpangaji
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ni siku
nyingine tena tunakutana katika kona yetu ya Vituko Mtaani, leo
tunapata simulizi kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbuyuni,
Kata ya Azimio, Temeke jijini Dar es Salaam, Selemani Mponyo (pichani),
hapa anaanza kusimulia kisa cha kusisimua.
“Mambo mengine ni aibu kuyaongea kwa
umri kama wetu lakini ngoja nisimulie...
Manyanyaso ya wadada wa kazi
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UTAKUWA
umesikia au kuona simulizi nyingi zinazowahusu wadada wa kazi
wanazokutana nazo katika familia mbalimbali. Licha ya umuhimu wao
mkubwa, lakini baadhi yao wamekuwa wakichukuliwa kama watu wenye shida,
wasio na maana ambao licha ya kazi yao ngumu na muhimu kwa familia,
wamekuwa wakibezwa, kutukanwa na hata kupigwa.
Filamu...
Mzazi umeharibika, utamnyoosha vipi mtoto?
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jamani
mbona tunajisahau na kuamini kabisa kinachotokea leo tunaonewa. Mzazi
jamani anazungumza mpaka mdomo unataka kupasuka lakini mtoto ndiyo
kwanza kama katiwa moto anaambiwa afanye.
Juzi nimemkuta mama mtu mzima akitokwa
na machozi baada ya mabinti zake kushindwa kumsikiliza kila alilokuwa
akiwaambia, lilikuwa likipitia kulia na kutokea kushot...
Monday, 20 July 2015
Kura ya Maoni ubunge na udiwani Chadema Julai 20-25 mwaka huu

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya zoezi la uchukuaji na
urejeshaji wa fomu za kugombea ubunge kukamilika Majimbo yote yanatakiwa
kuanza zoezi la kura ya maoni tarehe 20-25 Julai mwaka huu kwa
kuzingatia Mwongozo wa Taratibu za Kura ya Maoni ambao umeshatumwa nchi
nzi...
Saturday, 18 July 2015
MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE...