Monday, 11 March 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE MACHI 12, 2024


Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MACHI 9, 2024


Share:

Sunday, 10 March 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MACHI 11 , 2024

Magazeti ya Jumatatu





Share:

NIMEKOMA, KANISINGIZIA KESI YA UJAMBAZI KISA NILIMUONEA!

 

Jina langu ni Chams kutokea Dar es Salaam, Tanzania, nakumbuka kulikuwa na jamaa ambaye alikuwa ni fundi simu, alikuwa sio muongeaji sana, muda mwingi alikuwa busy na kufanya mambo yake.

Kwakuwa nilikuwa nina mwili mkubwa na ubabe ubabe pale mtaani, nilikuwa napenda sana kwenda kumuonea onea, ningeenda dukani ningekunywa maji na kusema dogo atakuja kulipa.

Yaani nilikuwa namfanyia ubabe wa kipuuzi tu na mikwara mingi, yule dogo likuwa hajibu kitu chochote na angefanya vile ninavyompelekesha.

Kumbe dogo usiku alikuwa ni mafia, anakaba watu na kuiba vitu vya majumbani halafu asubuhi anakuja kuzuga pale kwenye kijiwe chake cha kutengeneza simu. 

Siku moja alidakwa na polisi, baada ya kupigwa sana na kulazimishwa kutaja wenzake anaoshirikiana nao, jamaa si akanitaja mimi ingawa sijawahi kushirikiana naye, alifanya hivyo kutokana na unevu wangu kwake. 

Nikiwa nipo nyumbani sina hili wa lile mara polisi wakaja, kufika polisi najumuishwa kwenye kesi kibao ambazo kimsingi nilikuwa sijui chochote. 

Polisi wanakuja kuniambia nashirikiana na jambazi sugu, kuja kuambiwa ni jamaa ambaye ninamuonea siku zote, nilichoka, nilikaa sana mahabusu, baada ya wiki moja tulifikishwa mahakamani pamoja na yule dogo. 

Ile kesi ilinisumbua na kunichafulia jina pale mtaani hadi kazi nilisimamishwa, niliishi maisha magumu sana. Siku moja nikiwa kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na tangazo la Kiwanga Doctors kuwa wanasaidia watu kushinda kesi. 

Nilichukua namba yao (+254 769 404965) na kuwapigia na kuwaeleza shida yangu, nashukuru waliweza kunifanyia tiba zao na kunihakikishia ushindi wa kesi yangu. 

Baada siku chache tulipoenda mahakamani kwa ajili ya kesi ile niliweza kuachiwa huru baada ya kubainika sina hatia.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto. 

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache. 

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake. 

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho. 


Share:

MBUNGE MWAKAGENDA KWA KUSHIRIKIANA NA WANAWAKE WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WATOA MSAADA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA 




Mbunge wa Mkoa wa Mbeya Sophia mwakagenda kwa kushirikiana na wanawake wachimbaji wadogo wa madini wametoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwamo 'diaper', sukari, sabuni na juice kwa akinamama waliojifungua na wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya Wilaya ya Geita ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya wanawake.

Akizungumza Mkoa Geita katika hospitali hiyo Mwakagenda alisema kuwa Kila mwanamke akijifungua lazima watu wamfariji huku akisema wao pamoja na wachimba hao wameona ni vema wakafariji akinamama hao na wale wanaosubiri kujifungua.

" Tunafahamu mwanamke yoyote anapojifungua lazima umpe pole, tumekuja hapa shopitali hii kuwapo hongera kwa waliojifungua na kuwatia moyo wale ambao wanaosubiri kujifungua kwa kuwapatia vitu kama sabuni,sukari "diaper"," ameeleza Mwakagenda.

Aidha alimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela kwa kukubali ombi lake la kuungana na wanawake wachimbaji wadogo wa madini kwenda kutoa msaada huo na kufanya kongamano wachimbaji hao katika Mkoa huo.

Mbunge wa Mkoa huyo aliishukuru Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS),kwa kuwapatatia fedha kwa ajili ya kununua vifaa mbalimbali kwa ajili ya kutoa msaada kwa aiknamama hao.

Naye Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS),Ruth Minja amesema kuwa wameshirikiana na uongozi wa Mkoa wa Geita pamoja na mbunge huyo kutoa zawadi, msaada katika Hospitali hiyo kuonesha ushirikiano na wanawake ambao wapo hospitalini kama Jumuiya moja ya watanzania.

"Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani ofisi ya NBS inashirikiana na wanawake wengine wote duniani pamoja na mbunge wa Mkoa Mwakagenda na uongozi wote wa Mkoa wa Geita tumefika hapa kwa ajili ya kuungana na wanawake wenzetu wachimbaji wadogo wanawake kuwapa faraja akinamama hawa,"amesema.

Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Liliani Rwegoshora ameishukuru serikali kwa kuhakikisha wanawake wanafanya kazi katika mazingira bora huku akisema pamoja na kuwajali wanawake hao wameona ni vema wakatoa vifaa kwa akinamama waliojifungua na wanaosubiri kujifungua.

"Tunashukuru mbunge Mwakagenda pamoja na kampuni yake binafisi ya Shim Media ametokea Mkoa wa Mbeya kuja Geita kutuletea kongamano ambalo litatupatia elimu juu ya mambo mbalimbali kwa wanawake wachimbaji, tunajua serikali kazi yake kubwa ni kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya njema na tukielekea katika kongamano la wiki ya wanawake," amesema.

Kwa upande wake Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mji wa Geita Dk.Thomas Mafuru ametoa shukurani za dhati kwa wanawake wachimbaji wadogo wa madini katika Mkoa huo wakiongozwa na mbunge wa Mkoa wa Mbeya Mwakagenda katika siku ya Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kutoa faraja kwa wangonjwa ikiwa ni pamoja na msaada wa vitu mbalimbali.

Aidha Mganga Mfawidhi huyo ametoa rai kwa vikundi vya wanawake kwenda kutembelea Hospitali hiyo na kauwakaribisha kuwapatia faraja wagonjwa hospitalini hapo.

Mara baada ya kupokea zawadi hizo mmoja wa akinamama hao Ashura Jumanne amemshukuru mbunge huyo kwa kuwakumbuka kuwapafaraja ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake dunia.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger