Wednesday, 5 July 2023

Picha : MBUNGE LUCY MAYENGA Dada Mkubwa ATOA MSAADA WA MAJIKO YA GESI 250 KWA MAMA LISHE KAHAMA

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ametoa msaada wa Majiko ya Gesi 250 kwa Mama Lishe Wilaya ya Kahama ili kuwarahishia kazi katika shughuli zao sambamba na utunzaji mazingira kwa kutumia nishati mbadala.

Mhe. Mayenga maarufu kwa jina la 'Dada Mkubwa' ametoa Majiko ya Gesi leo Jumatano Julai 5,2023 wakati wa Mkutano wake na Mama Lishe hao katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga.

Akizungumza wakati wa kukabidhi majiko hayo, Mhe. Mayenga amesema ametoa mitungi yenye gesi ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo kwa Wajasiriamali na Mama Lishe Wilayani Kahama pamoja na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na wanawake katika shughuli za kiuchumi sambamba na kutunza mazingira kwa kutumia nishati mbadala.

“Nimetoa majiko ya gesi 250 kwa Mama Lishe wilayani Kahama na mengine 150 Wilaya ya Shinyanga hivyo kufanya idadi ya majiko kuwa 400 yakiwa na thamani ya shilingi Milioni 20 ikiwa ni mwendelezo wa kuwasaidia mama lishe na Malengo ni kuwafikia mama lishe 800 mkoa mzima ili kuwarahishia akina mama kuepukana na majiko yasiyo rafiki kwa afya lakini pia kuepuka uharibifu wa mazingira. Lengo jingine ni kuwapunguzia gharama za kununua mkaa na nishati zingine”,amesema Mhe. Mayenga.
Muonekano wa sehemu ya majiko ya gesi yaliyotolewa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kwa Mama Lishe wilayani Kahama

Katika hatua nyingine Mhe. Mayenga amemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada mbalimbali anazofanya katika kuwaletea maendeleo wananchi hivyo kuwaomba Watanzania kuwapuuza baadhi ya watu wanaomsema vibaya Mhe. Rais Samia.

“Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa katika nchi hii. Zawadi pekee ya kumpa ni kumsema vizuri na kumsemea mema ilia pate moyo wa kuendelea kufanya kazi vizuri zaidi”,amesema Mhe. Mayenga.

Mbunge huyo wa Viti Maalumu ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wanawake kutimiza wajibu wao wa malezi katika familia ili kuepukana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwemo vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo vimekuwa vikifanywa na watu wa karibu katika familia.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita amempongeza Mhe. Lucy Mayenga kwa kazi nzuri anayofanya katika kumkwamua mtoto wa kike, kupigania wanawake na wananchi kwa ujumla.

“Siku zote nasema Mpeni mtu maua yake akiwa hai. Mhe. Lucy Mayenga (Dada Mkubwa) ni jembe. Kitendo cha kugawa majiko kwa mama lishe ni kitendo cha kuigwa, hakuna ubaya kujifunza mambo mazuri kwa mwenzio”,amesema Mhe. Mhita.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akifurahia jambo.

Aidha Mhe. Mhita amemshukuru Mhe. Rais Samia kwa fedha nyingi anazoendelea kuzileta wilayani Kahama kwa ajili ya kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo afya na elimu na ameendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali.

Naye Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Kahama Mhe. Theresphora Saria mbali na kumshukuru na kumpongeza Mhe. Lucy Mayenga kwa kuwapatia majiko ya gesi mama lishe wilayani Kahama, ametumia fursa hiyo kuwataka wanawake kupendana,kushikamana, kushirikiana na kuhakikisha wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi kweny chaguzi mbalimbali.

Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Shinyanga Mhe. Grace Samwel Bizulu na Katibu wa UWT Mkoa wa Shinyanga, Asha Juma Kitandala wamesisitiza umoja na mshikamano ndani ya chama ili kukijenga chama hicho.

Katika Mkutano huo pia UWT Wilaya ya Kahama imempatia zawadi Mhe. Lucy Mayenga kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Kuu la UWT taifa.

 Lakini pia Benki ya Azania imetoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa katika Benki hiyo ikiwemo Akaunti na Mikopo maalumu kwa ajili ya wanawake (Mwanamke Hodari).

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza na Mama Lishe na Wajasiriamali wilayani Kahama leo Jumatano Julai 5,2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ambapo pia ametoa msaada wa majiko 250 ya gesi kwa Mama Lishe wilayani humo. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza na Mama Lishe na Wajasiriamali wilayani Kahama leo Jumatano Julai 5,2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akiteta jambo na  Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (kulia).
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akiangalia majiko 250 ya gesi kabla ya kuyakabidhi kwa Mama Lishe wilayani Kahama.
Muonekano wa sehemu ya majiko ya gesi yaliyotolewa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kwa Mama Lishe wilayani Kahama
Muonekano wa sehemu ya majiko ya gesi yaliyotolewa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kwa Mama Lishe wilayani Kahama
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (kushoto) akikabidhi jiko la gesi kwa Mama Lishe wilayani Kahama

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (wa pili kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa UWT Wilaya ya Kahama baada ya kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Kuu la UWT taifa

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (wa pili kushoto) akionesha  zawadi kutoka kwa UWT Wilaya ya Kahama baada ya kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Kuu la UWT taifa
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (aliyeshikilia ua) akipokelewa kwa shangwe baada ya kuwasili Wilayani Kahama
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (aliyeshikilia ua) akipokelewa kwa shangwe baada ya kuwasili Wilayani Kahama
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (katikati) akipokelewa kwa shangwe baada ya kuwasili Wilayani Kahama
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (katikati) akicheza na mama lishe Wilayani Kahama
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (katikati) akicheza na mama lishe Wilayani Kahama
Katibu wa UWT Mkoa wa Shinyanga, Asha Juma Kitandala 
akizungumza kwenye mkutano wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga na Mama Lishe wilayani Kahama
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Kahama Mhe. Theresphora Saria akizungumza kwenye mkutano wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga na Mama Lishe wilayani Kahama
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza kwenye mkutano wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga na Mama Lishe wilayani Kahama

Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Shinyanga Mhe. Grace Samwel Bizulu akizungumza kwenye mkutano wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga na Mama Lishe wilayani Kahama
Afisa Mahusiano Benki ya Azania tawi la Kahama Dorah Chacha akitoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa katika Benki hiyo ikiwemo Akaunti na Mikopo maalumu kwa ajili ya wanawake (Mwanamke Hodari)
Afisa Mahusiano Benki ya Azania tawi la Kahama Dorah Chacha akitoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa katika Benki hiyo ikiwemo Akaunti na Mikopo maalumu kwa ajili ya wanawake (Mwanamke Hodari)

Mkutano wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga na Mama Lishe wilayani Kahama ukiendelea

Mkutano wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga na Mama Lishe wilayani Kahama ukiendelea.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Share:

UKICHEZA AVIATOR UNASHINDA TIKETI 2 ZA NDEGE KUJIVINJARI NA UMPENDAE

Tanzania ina sehemu nyingi za vivutio ambazo watu wengi wanatamani kufika na kutembelea lakini wanashindwa kutokana na changamoto za kiuchumi, Meridianbet wamekuja kuifanya ndoto yako na matamanio yako kuwa ya kweli, endapo tu utacheza kasino ya mtandaoni mchezo wa Aviator.

Mchongo ni kasino ya mtandaoni haswa ile ndege ya Aviator kuanzia mwezi huu wa matajiri Julai 1, mpaka Agosti 31 kwa kuweka dau la 10,000/= kisha ufikishe kiasi cha Tsh 50,000/= kwa muda wa promosheni unaingia kwenye nafasi ya kuwa mmoja ya washindi watakaotembelea sehemu hizi zifuatazo.

Zanzibar (kupumzika siku 5 hotelini)

Mwanza (kupumzika siku 5 hotelini)

Arusha kutembelea siku 4 katika Hifadhi za Serengeti & Ngorongoro

Kilimanjaro kupumzika siku 2 hotelini + siku 7 za kupanda mlima Kilimanjaro

Dar Es Salaam + (kupumzika siku 5 hotelini)

Masharti ya Promosheni

v Cheza Aviator kuanzia tarehe 01 mwezi wa Saba (July) hadi tarehre 31 mwezi wa nane (August) mwaka 2023 ujipatie nafasi ya kushinda safari ya ndege kwa watu wawili kutembelea vivutio vya kitalii nchini Tanzania!

v Wachezaji wote ambao wataweka dau la zaidi ya Tsh 10,000 katika kipindi hiki cha promosheni na wakicheza jumla Tsh 50,000 au zaidi kwenye Aviator watapata nafasi ya kushinda zawadi hizi.

v Droo ya washindi 2 ambao wataweza kuleta mtu mwingine pamoja nao itachezeshwa tarehe 01.09.2023.

v Washindi wataweza kuchagua sehemu yeyote kati ya zilizo tajwa na watalazimika kutembelea sehemu hizi kabla ya mwisho wa mwezi Septemba 2023.

v Ofa hii ni halali kwa anwani moja ya I.P. kwa mteja mmoja.

v Katika kesi ya udanganyifu, matumizi mabaya ya kiufundi, pamoja na mambo yasiyokuwa ndani ya uwezo wa mwendeshaji, ambayo yanaweza kuathiri uaminifu na utendaji mzuri wa matangazo, mwendeshaji anahifadhi haki ya kutengua ushindi huo.

v Kila mteja aliejisajiri na www.meridianbet.co.tz  moja kwa moja watakuwa wamekubali masharti na vigezo vya promosheni hii.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Share:

BREAKING NEWS : MERIDIANBET KUTOA BONASI YA MWAKA MZIMA

Breaking News!! Hatimaye Meridianbet imekuja na promosheni kabambe ya mwaka mzima kwa kumwaga bonasi ya kucheza bure sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Jambo kubwa linapoanzishwa huwa linaenda kishtua nchi, je wewe unaweka kiasi gani kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa muda wa mwezi mmoja?

Kuanzia Julai 4 mpaka Agosti 31, 2023 kuna zawadi kubwa kwako wewe mwamba wa sloti na kasino ya mtandaoni. Unaweza kuingia kwenye droo ya shindano la wakali wa kujaza salio kisha ukajazwa bonasi ya siku 3656 yaani mwaka mzima unapigwa bonasi ya kucheza michezo ya sloti kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Vigezo na Masharti ya Promosheni

Weka TZS 25,000 au zaidi kwenye akaunti yako na kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kwa kiasi cha TZS 100,000 utakuwa kwenye nafasi ya kujishindia bonasi ya kibabe kwa siku 366 mfululizo!

Ifikapo tarehe 01.09 Meridianbet itawatangaza washindi watakaopata bonasi kwa siku 366 za kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti. Kila asubuhi, kuanzia tarehe 04.09.2023 hadi 03.09.2024, saa 12:00, mshindi atalipwa bonasi ya TZS 25,000 ambayo anaweza kucheza michezo ya Sloti.

v Bonasi ya Kasino lazima itumike siku hiyo hiyo.

v Bonasi ya Kasino itatumika kwenye ofa za sloti za kasino ya mtandaoni.

v Ofa hii ni halali kwa anwani moja ya I.P. kwa mteja.

v Katika kesi ya udanganyifu, matumizi ya kiufundi, pamoja na mambo yasiyokuwa ndani ya uwezo wa mwendeshaji, ambayo yanaweza kuathiri uaminifu na utendaji mzuri wa matangazo, mwendeshaji anahifadhi haki ya kutengua ushindi huo.

v Kila mteja aliejisajili na www.meridianbet.co.tz  moja kwa moja atakuwa amekubali masharti na vigezo vya promosheni hii.

v Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote pamoja na kusitisha promosheni hii.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger