
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi NEMC, Prof.Mhandisi Esnat Chaggu ( wa kwanza kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Mrisho Mrisho wakitembelea eneo la upanuzi wa Bandari ya Jijini Dar es Salaam kuona utekelezaji wa masharti ya cheti cha mazingira pamoja na kuhakikisha maeneo yale ambayo udongo unaochimbwa kwenye maeneo hayo na sehemu inapokwenda kuhifadhiwa pawe ni sehemu salama pasiweze kuathiri mazingira katika maeneo hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Mrisho Mrisho akizungumza na Bodi na Menejimenti ya NEMC mara baada ya NEMC kutemebelea eneo la upanuzi wa Bandari ya Jijini Dar es Salaam kuona utekelezaji wa masharti ya cheti cha mazingira pamoja na kuhakikisha maeneo yale ambayo udongo unaochimbwa kwenye maeneo hayo na sehemu inapokwenda kuhifadhiwa pawe ni sehemu salama pasiweze kuathiri mazingira katika maeneo hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akizungumza mara baada ya Bodi na Menejimenti ya NEMC kutembelea eneo la upanuzi wa Bandari ya Jijini Dar es Salaam kuona utekelezaji wa masharti ya cheti cha mazingira pamoja na kuhakikisha maeneo yale ambayo udongo unaochimbwa kwenye maeneo hayo na sehemu inapokwenda kuhifadhiwa pawe ni sehemu salama pasiweze kuathiri mazingira katika maeneo hayo.
Mwenyekiti wa Bodi NEMC, Prof.Mhandisi Esnat Chaggu akizungumza mara baada ya Bodi na Menejimenti ya NEMC kutembelea eneo la upanuzi wa Bandari ya Jijini Dar es Salaam kuona utekelezaji wa masharti ya cheti cha mazingira pamoja na kuhakikisha maeneo yale ambayo udongo unaochimbwa kwenye maeneo hayo na sehemu inapokwenda kuhifadhiwa pawe ni sehemu salama pasiweze kuathiri mazingira katika maeneo hayo.
Bodi na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakipata picha ya pamoja na Manahodha wa Meli inayotumika kuchimba mchanga katika upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam mara baada ya kutembelea katika eneo la upanuzi wa Bandari ya Jijini Dar es Salaam kuona utekelezaji wa masharti ya cheti cha mazingira pamoja na kuhakikisha maeneo yale ambayo udongo unaochimbwa kwenye maeneo hayo na sehemu inapokwenda kuhifadhiwa pawe ni sehemu salama pasiweze kuathiri mazingira katika maeneo hayo






