Mkurugenzi wa Shirika la WEADO Eliasenya Nnko akizungumza wakati wa kutambulisha mradi wa vunja ukimya, zuia ndoa na mimba za utotoni wilayani Shinyanga ambao utatekelezwa Kata ya Masengwa na Tinde wilayani Shinyanga.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
SHIRIKA la Women Elderly Advocacy and Development...
Thursday, 6 October 2022
WANAHARAKATI WATAKA SHERIA ZITUMIKE KUKOMESHA UKATILI WA KIJINSIA "MENGINE SIYO MILA NI ULAFI TU"
Afisa Mradi wa Elimu ya Haki za Binadamu kutoka Shirika la Tusonge CDO, Consolata Kinabo.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jamii imetakiwa kuacha tabia za kumaliza kesi za masuala ya ukatili wa kijinsia kienyeji ikiwemo mimba na ndoa za utotoni kwa kisingizio kuwa ni mila na desturi bali sheria...
WAZIRI WA AFYA WA ZAMANI MBARONI KWA RUSHWA

Mamlaka nchini Zambia zimemfungulia mashtaka waziri wa zamani wa afya nchini humo kwa makosa ya rushwa.
Bw.Chitalu Chilufya anatuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha za uma kiasi cha dola za kimarekani milioni 17 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 3 za Kitanzania , ambazo zilikua ni za kusambaza...
Wednesday, 5 October 2022
KAMATI YA UKUSANYAJI MAPATO YAIPONGEZA MANISPAA YA SHINYANGA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO KWA UKAMILIFU KUPITIA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI
Wajumbe wa Kamati ya ukusanyaji mapato ya ndani halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wakiwa kwenye mradi wa machinjio ya kisasa Ndembezi ambao pia una mchango wa fedha za mapato ya ndani.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
KAMATI ya ukusanyaji mapato ya ndani halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, wameipongeza...