Katika mkutano huo, Waheshimiwa Madiwani wameruhusu Mchakato wa ufungaji wa Ripoti za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022 zilizoishia Juni 30,2022 uendelee kwa ajili ya kuwasilisha katika Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.
Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Ngassa Mboje akizungumza kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Stewart Makali akizungumza kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Rumoka akitoaa Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ukiendelea
Madiwani wakiwa kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Madiwani wakiwa kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Mkutano ukiendelea

Katibu Tawala wilaya ya Shinyanga, Boniphace Chambi akitoa salamu kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini, Erinestina Richard akitoa salamu kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini, Edward Ngelelaakitoa salamu kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022
Wadau na wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri ya Shinyanga wakiwa kwenye Mkutano Maalumu wa kujadili na kupitisha Taarifa za Hesabu za Mwisho za Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile akiongozana na kamati yake kutembelea dampo la uchafu lililopo Pugu leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile akiongozana na kamati yake kutembelea dampo la uchafu lililopo Pugu leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira akionesha jambo mara baada ya kamati hiyo kufanya ziara ya kutembelea dampo la kuhifadhi uchafu lililopo Pugu Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam Mhandisi Amani Mafuru mara baada ya kamati hiyo kufanya ziara ya kutembelea dampo la kuhifadhi uchafu lililopo Pugu Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mhe.David Kihenzile wakitazama namna ya uhifadhi maji taka katika kiwanda cha kutengeneza nguo EPZA mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea mamlaka hiyo leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile (mwenye kaunda ya bluu) akimsikiliza Meneja Utawala wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu ya Uwekezaji(EPZA) Bw.Rigobert Massawe mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza nguo kilichopo EPZA leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile akiongoza na kamati yake kutembelea kiwanda cha kutengeneza nguo kilichopo EPZA mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea EPZA leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile (mwenye kaunda ya bluu) akimsikiliza Meneja Utawala wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu ya Uwekezaji(EPZA) Bw.Rigobert Massawe mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza nguo kilichopo EPZA leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mhe.David Kihenzile wakitazama namna ya uhifadhi maji taka katika kiwanda cha kutengeneza nguo EPZA mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea mamlaka hiyo leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea dampo la uchafu Pugu pamoja na Mamlaka ya Ukanda Maalumu ya Uwekezaji(EPZA) leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe.David Kihenzile akizungumza katika kikao na kamati yake mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea dampo la uchafu Pugu pamoja na Mamlaka ya Ukanda Maalumu ya Uwekezaji(EPZA) leo Septemba 28,2022 Jijini Dar es Salaam.

Muuguzi akionesha mojawapo ya njia salama za uzazi wa mpango ambayo ni kitanzi. 