Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango (TBS), Dkt.Athuman Ngenya pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Bi.Monica Hangi wakisaini makubaliano ya ufadhili na Taasisi hiyo leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango (TBS), Dkt.Athuman Ngenya akipeana pongezi na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Bi.Monica Hangi mara baada ya kusaini makubaliano ya ufadhili na Taasisi hiyo leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango (TBS), Dkt.Athuman Ngenya akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano ya ufadhili na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Bi.Monica Hangi akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kusaini makubaliano ya ufadhili na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Upimaji na Ugezi (TBS), Mhandisi Johanes Maganga akifuatilia hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora (TBS), Bw.Lazaro Msasalaga akifuatilia hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt.Athuman Ngenya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Bi.Monica Hangi wakipata picha ya pamoja na watumishi wa TBS mara baada ya kusaini makubaliano ya ufadhili na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) leo Septemba 26,2022 Jijini Dar es Salaam.