Wednesday, 2 June 2021

Tangazo La Nafasi Za Masomo shule ya Lake Tanganyika

Uongozi wa shule ya Lake Tanganyika iliyopo Kigoma katika kijiji cha Mkigo inapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa tahasusi za HGK,HKLna HGK Pia shule inawatangazia nafasi za kuhamia kidato cha sita kwa tahasusi tajwa hapo juu,kidato cha tatu na kwanza  Shule inafanya...
Share:

NHIF TANGA YAENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO

  MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe (MB) wakati alipotembelea Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya Biashara ya 8 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga Meneja...
Share:

CUSTOMS ASSISTANT II – 7 POST at TRA

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content POST CUSTOMS ASSISTANT II – 7 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING HR & ADMINISTRATION LEGAL TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2021-06-01 2021-06-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To receive documents...
Share:

PERSONAL SECRETARY II – 3 POST at TRA

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content POST PERSONAL SECRETARY II – 3 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION IT AND TELECOMS EMPLOYER Tanzania Revenue Authority (TRA) APPLICATION TIMELINE: 2021-06-01 2021-06-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To receive, interview and direct visitors accordingly. ii....
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 2,2021

...
Share:

Tuesday, 1 June 2021

NGARIBA NGULI ATUPWA JELA MITANO TENA GEREZANI SERENGETI

Ngariba nguli Mary Onyango Omega (50) maarufu Mkungu Mugesi mkazi wa kijiji cha Kitarungu Kata ya Nyansurura amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara miaka 5 jela kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto (ukeketaji). Adhabu hiyo ni ya pili kutolewa na Mahakama tofauti ambapo Aprili 28,2021...
Share:

SINGIDA WAANZA KUKUSANYA MAPATO YA MAEGESHO KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI

Mkuu wa Mkoa wa Singida Binilith Mahenge akizungumza  kabla ya kuzindua  Mfumo mpya  wa kielektoniki wa ukusanyaji mapato kupitia maegesho ya vyombo vya moto.  Na Edina Alex, Singida. MKUU wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amezindua  mfumo mpya wa kielektroniki...
Share:

WANAFUNZI 148,127 WAMECHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI, KATI 2021…TAZAMA MAJINA HAPA

🚨 Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Na Vya Kati - 2021 (First Selection) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu,akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza  majina ya Wanafunzi waliochaguliwa...
Share:

WAKWAPUA POCHI WANASWA MOROGORO

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu *** Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia vijana 34 kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki ambapo jumla ya pikipiki nane zinashikiliwa na jeshi hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus...
Share:

SMART AFRICA GROUP – KAMPUNI INAYOCHOCHEA MAPINDUZI YA KIDIGITALI, MEDIA NA UBUNIFU

Mkurugenzi Wa SAG Bw. Edwin Bruno (mwenye Suti) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Idara Smartcodes imezindua kampuni yake mama, Smart Africa Group (SAG) ambayo itakuwa inasimamia idara zake 5 ambazo kwa sasa zimesajiliwa kama kampuni huru na zinakuwa kampuni tanzu.  Kwa miaka mingi,...
Share:

URUSI NA TANZANIA KUANZISHA MIRADI YA MAZINGIRA

Rais wa Jumuiya ya Urafiki wa Tanzania na Urusi Yuri Korobov (kushoto) akiwa na Rais wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (Diaspora) waishio Urusi Dr. Prof. Zenebe Kinfu Tafesse (Kulia). Na Mwandishi Wetu Jumuiya ya Urafiki ya Urusi ambayo iliundwa nchini Urusi na watu maarufu na wajasiriamali, inaungana...
Share:

BARRICK-NORTH MARA YATUNUKIWA TUZO KWA KUFANIKISHA UZINDUZI WA MWONGOZO WA UWEKEZAJI MKOANI MARA

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (Kulia) akikabidhi cheti kwa Meneja wa Mahusiano ya Jamii wa mgodi wa Barrick North Mara,Gilbert Mworia, (Kushoto) kutokana na mchango wa kampuni hiyo kufanikisha uzinduzi wa mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa Mara katika hafla iliyofanyika mjini Musoma. Katikati mwenye...
Share:

TAWA YATOA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MAENEO YAKE

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania -TAWA imetenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji wa kitalii ili kuongeza uwezo wa kifedha katika kusimamia maeneo yaliyo chini ya Mamlaka hiyo, ikiwa ni moja ya mkakati wa ukuzaji na uendelezaji wa Mamlaka pamoja na kuongeza pato la Taifa. Hayo yameelezwa...
Share:

Breaking : HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, UFUNDI 2021

🚨 Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Na Vya Kati - 2021 (First Selection)👇🏿👉🏻 TAZAMA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2021 VYUO VYA KATI NA UFUNDI ...
Share:

Waziri wa Uganda ajeruhiwa na mwanae kufa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Watu wenye silaha wamemshambulia na kumjeruhi Waziri na Kamanda wa zamani wa jeshi la Uganda, na kumuua binti yake na dereva. Walioshuhudia tukio hilo wanasema washambuliaji ambao hawajafahamika walliokuwa kwenye pikipiki walifyatua risasi kadhaa kwenye gari alimokuwa Jenerali Katumba Wamala. Shambulio...
Share:

TAMISEMI Form Five Selection 2021 | Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2021

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content How to see TAMISEMI Form Five Selection 2021/2022. You can ask yourself how to check students selected to join form five 2021 (Majina waliochaguliwa kidato cha Tano 2021/2022). The following below are steps to see all names of students with their school and combination he or she will...
Share:

VIDEO: Zoezi la Uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi 2021

p style="text-align: justify;"> VIDEO: Zoezi la Uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi 202...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger