Thursday, 26 March 2020

Punguzo Kubwa La Bei Za Generator, Mashine Zakuoshea Magari, Compressor Na Vacum Cleaner

TAFADHALI SOMA TANGAZO HADI MWISHO KABLA YA KUPIGA SIMU NA TAFADHALI KABLA A KUNUNUA GENERATOR TAFUTA FUNDI AKUSHAURI UCHUKUE GENERATOR YA SIZE GANI ILI USIE KULA HASAA A KUNUNUA GENEATOR ISIYOENDANA NA VIFAA VYAKO

Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo wanakuletea OFA YA NGUVU.

Kwa wakazi wa Dar pekee ukinunua Generator au bidhaa yoyote kutoka kwetu utaletewa bure hadi kwako. Kwa wale watakaohitaji  na wapo mkoani basi tunaweza watumia hadi mkoani kwa gharama nafuu zaidi, ambapo mteja atalipia gharama ya usafirishaji au kama mteja ana ndugu Dar anaweza mtuma Dukani akaja. TUPO KARIAKOO MTAA WA UHURU NA NYAMWEZI.

Piga simu 0658184797 / 0752 184797 tukupe utaratibu

 Generator hii ina 5.5KV yaani watts 5500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,250,000 INATUMIA FUNGUO
============================================

Generator hii ina 6.5KV yaani watts 6500 na inatumia Petrol. Bei yake ni 1,350,000 INATUMIA FUNGUO

 ====================================
GENERATOR HII INATUMIA DIESEL ZIPO ZA AINA 2, SINGLE PHASE NI 1,950,000 NI KV 5.5 NA IPO YA 3PHASE BEI YAKE NI 2,100,000 NI KV 6.5
  ===============================================================
Generator hii ina 3.1KV yaani watts 3100 na inatumia Petrol. Bei yake ni 700,000 HAITUMII FUNGUO inayotumia funguo ni 800,000
 =============================================
Generator hii ina 3.1KV yaani watts 2800 na inatumia Petrol. Bei yake ni 670,000 HAITUMII FUNGUO inayotumia funguo ni 750,000
 =====================================================
GENERATOR HII INATUMIA DIESEL NI KV 4.5 YANI WATTS 4500 NI SIBGLE PHASE BEI NI 1,450,000
==============================================

GENERATOR HII INATUMIA DIESEL ZIPO ZA AINA 2, SINGLE PHASE NI 1,850,000 NI KV 5  NA IPO YA 3PHASE BEI YAKE NI 1,950,000 NI KV 6.5
===============================================

GENERATOR HII INATUMIA DIESEL ZIPO ZA AINA 2, SINGLE PHASE NI 6,000,000 NI KV 11  NA IPO YA 3PHASE BEI YAKE NI 6,400,000 NI KV 12
===================================================================

Hii ni generator ambayo ni silent na inaumeme wakutosha wa 8.5KW nzuri kwa matumizi ya nyumbani,ofisini nk na inatumia Diesel na inawashwa kama gari kwa ufunguoSINGLE PHASE NI 2,700,000 NA 3PHASE NI 2,900,000
===================================================
Hii ni generator ambayo ni silent na inaumeme wakutosha wa 7KW nzuri kwa matumizi ya nyumbani,ofisini nk na inatumia Diesel na inawashwa kama gari kwa ufunguoSINGLE PHASE NI 2,250,000 NA 3PHASE NI 2,400,000
======================================================
Hii ni generator ambayo ni silent na inaumeme wakutosha wa 8.5KW nzuri kwa matumizi ya nyumbani,ofisini nk na inatumia Diesel na inawashwa kama gari kwa ufunguoSINGLE PHASE NI 2,700,000 NA 3PHASE NI 2,900,000   
   
=================================================
Hii ni generator ambayo ni silent na inaumeme wakutosha wa 8.5KW nzuri kwa matumizi ya nyumbani,ofisini nk na inatumia Diesel na inawashwa kama gari kwa ufunguoSINGLE PHASE NI 5,700,000 NA 3PHASE NI 5,900,000
======================================================

MR UK GENERATOR NA BEI ZAKE KV 2.7 BEI NI 450,000 NA KV 3 NI 500,000 NA KV 4 NI 600,000 ZOTE ZNATUMIA FUNGUO NA PETROL   
----------------------------------------------------------------------------------------
Hii ni generator ambayo ni silent na inaumeme wakutosha wa 7KW nzuri kwa matumizi ya nyumbani,ofisini nk na inatumia Diesel na inawashwa kama gari kwa ufunguoSINGLE PHASE NI 2,00,000 NA 3PHASE NI 2,900,000
HIIZI NI BEI ZA MASHINE ZA KUOSHEA MAGARI NA BEI ZAKE

BOSS PRESSUE WASHER PSI 3600 PETROL BEI NI 760,000
Pressure Washer Easy Power POWER 3000psi . UMEME BEI 1,300,000
Eagle pressure washer 2200psi Electric YA UMEME BEI NI 1,700,000
 ==============================================================
Easy Power Pressure Washer 2200PSI PETROL 750,000
==========================================================================
Hii ni pressure washer ya petrol kubwa sana na inauwezo wakuosha magari yote makubwa na madogo nzuri sana kwa kazi sehemu ambayo umeme hauko sawa.⁣⁣ Bei 1,450,000/= PSI 3000PSI
=====================================================
VITU VIPO VINGI SANA KARIBU SANA DUKANI KWETU

VACUM CLEANER NA BEI ZAKE
LITA 25 BEI NI 320,000
LITA 30 BEI NI 430000
LITA 80 BEI NI 850,000
LITA 100 BEI NI 1,050,000

============================================

BEI ZA COMRESSOR NI KAMA IFUATAVYO
ZA MAFUTA
LITA 25 BEI NI 500,000
LITA 50 BEI NI 450,000
LITA 100 BEI NI 900,000
LITA 150 BEI NI 1,100,000
LITA 200 UMEME NA MAFUTA 1,600,000
==============================================

BEI ZA WATER PUMP ZA DIESEL
2INCH 950,000
3INCH 1,100,000
4INCH 1,300,000
============================================

BEI ZA WATER PUMP ZA PETROL
2INCH 430,000
3INCH 450,000
4INCH 700,000


Share:

Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Mapinga na Bunju Kwa Bei Nzuri Kabisa


Mapinga, mpani na Bunju, vipo viwanja vya bei zifuatazo:
Mita 20/20 ni tsh 5 mil,
Mita 20/30 ni tsh 7 mil,
Mita 20/40 ni tsh 10 mil,
Robo eka ni tsh 12 mil,
Nusu eka ni tsh 22 mil,
Eka moja ni tsh 42 mil

Kwa Bunju, viwanja vipo mtaa wa Fanaka (Bunju A) na bei ni milion 30 kwa kiwanja cha sqm 1000.

Viwanja hivi vipo umbali wa km 2 kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road) Na huduma zote za umeme na maji zipo.

Ukipata ujumbe huu mjulishe ndugu/jamaa/rafiki.

Hakuna dalali/udalali
Mpigie mhusika: 0758603077,
Whatsap 0757489709


Share:

Wagonjwa Wa Corona Tanzania Wafika 13.....Mgojwa wa Kwanza Kupata Virusi Hivyo Kapona

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona  imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni Watanzania na watano ni wageni

Waziri Ummy ameyabainisha hayo leo Machi 26, 2020, wakati akitoa taarifa kwa umma, kuhusu hali ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini

Amesema kati ya wagonjwa hao Dar es Salaam  wapo nane, Arusha wawili, Zanzibar wawili na Kagera mmoja.

Waziri Ummy amesema kuwa mgonjwa wa 13 alipatikana mkoani Kagera na ni dereva wa magari makubwa, ambaye aliingia nchini kupitia mpaka wa Kabanga na shughuli zake anafanyia kati ya Burundi, DRC na Tanzania. 

Pia amesema  mgonjwa wa kwanza nchini wa virusi vya corona, Isabela Mwampamba (46) ameshapona ugonjwa huo.

“Mgonjwa wetu wa kwanza ambaye haturuhusiwi kutaja jina lakini alijitaja mwenyewe amepona COVID 19, tumepima sampuli mara tatu na zote zimeonyesha negative, tumeanza utaratibu wa kumruhusu kurudi nyumbani,” amesema.


Share:

Live: Rais Magufuli Akipokea Ripoti Ya CAG Na TAKUKURU Chamwino Jijini Dododma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  anakabidhiwa   Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere.

 Aidha Mhe. Rais atapokea Ripoti ya taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya mwaka 2018/2019 itakayowasilishwa na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Taasisi hiyo Brigedia Jenerali John Mbungo . 

Hafla inayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Machi 26, 2020.


Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi March 26





















Share:

Wednesday, 25 March 2020

Picha : JAMBO YAKABIDHI ZAWADI YA JAVIDA MSHINDI SHINDANO LA INSTAGRAM


Kampuni ya Vinywaji Baridi ya Jambo Food Products Ltd imekabidhi zawadi ya Katoni ya Juisi ya Matunda maarufu JAVIDA kwa Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga mkazi wa Shinyanga Mjini aliyefanikiwa kujibu kwa ufasaha swali kuhusu maana ya JAVIDA.

Akizungumza leo Jumatano Machi 25,2020 wakati wa kukabidhi zawadi hiyo, Afisa Mauzo wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Bi. Farida Issa amesema Makalanga ni mshindi wa swali lililoulizwa na jambogroup katika mtandao wa Instagram.

“Kampuni ya Jambo Food Products kupitia mtandao wa Instagram katika akaunti ya jambogroup tumekuwa tukiuliza maswali mbalimbali na mfuasi ‘follower’ anayejibu kwa ufasaha huwa tunampatia zawadi na leo tunakabidhi zawadi kwa bwana Paul Makalanga aliyejibu vizuri maana ya JAVIDA ambapo JA-VIDA ni ufupisho wa (JAmukaya-VIDA); Jamukaya ikiwa na maana Ya Nyumbani (Sukuma), na Vida ikiwa na maana ya Maisha (Occitan). Ndiyo Maana JA-VIDA ni Utamu mpaka tone la Mwisho”,alisema Issa.

Aidha amewaomba wadau mbalimbali kuendelea kutembelea kurasa za JamboGroup katika mitandao ya kijamii ili kufahamu bidhaa zilizopo sokoni hali kadhalika kujibu maswali yanayoulizwa na kujipatia zawadi za Jamukaya ikiwemo Vinywaji baridi na tisheti.

Kwa upande wake, Paul Makalanga ameishukuru Kampuni ya Jambo Food Products kwa kumpatia zawadi ya Katoni ya Juisi ya JAVIDA ambayo ni bidhaa mpya iliyoingizwa sokoni hivi karibuni na Kampuni hiyo ya Vinywaji.

“Mimi ni Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises iliyoshiriki katika shindano katika Ukurasa wa Instagram lililokuwa linahoji maana ya JAVIDA. Nilijibu swali na kufanikiwa kulipata. Shukrani za dhati ziende katika Kampuni ya Jambo Food Products kwa kuniletea zawadi hii ya kinywaji kizuri na kitamu sana ambacho nina imani kuwa Watanzania wote watakipenda”,alisema Makalanga.

Kampuni ya Kampuni ya Vinywaji Baridi ya Jambo Food Products Ltd ya Mkoani Shinyanga hivi karibuni imetambulisha bidhaa mpya ya JAVIDA,Jawiza Apple Crush Soda,Juisi ya Ukwaju na Ubuyu zenye ujazo wa mili lita 300 ambazo zinapatikana kwa bei ya reja reja shilingi 500/= bei ambayo ni ya kizalendo kwa kila Mtanzania kwenye kipato cha kawaida. 

Endelea kutembelea Ukurasa wa  JamboGroup Instagram upate zawadi za Jamukaya JamboGroup
 Kulia ni Afisa Mauzo wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Bi. Farida Issa akikabidhi zawadi ya Katoni ya Juisi ya JAVIDA''Utamu Hadi Tone la Mwisho" kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga mkazi wa Shinyanga Mjini aliyejibu kwa ufasaha swali kuhusu maana ya JAVIDA katika Ukurasa wa Instagram wa JamboGroup leo Jumatano Machi 25,2020. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Afisa Mauzo wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Bi. Farida Issa (katikati) na Mhasibu wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Erick Maro (kulia) wakikabidhi zawadi ya Katoni ya Juisi ya JAVIDA kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga mkazi wa Shinyanga Mjini aliyejibu kwa ufasaha swali kuhusu maana ya JAVIDA katika Ukurasa wa Instagram wa jambogroup leo Jumatano Machi 25,2020.
Afisa Mauzo wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Bi. Farida Issa (katikati) na Mhasibu wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Erick Maro (kushoto) na Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga (kulia) wakiwa wameshikilia juisi ya JAVIDA.
Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga akiishukuru Kampuni ya Jambo Food Products Ltd kwa kumpelekea zawadi ya Katoni ya JAVIDA.
Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga akionja Utamu wa JAVIDA....'Utamu Hadi Tone la Mwisho".
Afisa Mauzo wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Bi. Farida Issa (kushoto) na Mhasibu wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Erick Maro (kulia) na Mwakilishi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd, Paul Kalanga (kushoto) wakiwa wameshikilia juisi ya JAVIDA.
JAMUKAYA JAVIDA ....'Utamu Hadi Tone la Mwisho"
Ujumbe wa jambogroup katika ukurasa wa Instagram ikimtangaza gilitu_enterprises_ltd kuwa mshindi wa swali kuhusu maana ya JAVIDA.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger