Tuesday, 24 March 2020

Specialist Supplier Relationship Management at CRDB Bank

Specialist; Supplier Relationship Management  VACANCIES – DEPARTMENT OF ICT BACKGROUND CRDB Bank Plc is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill the vacant positions existing in the Department of ICT. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals to fill the following positions: Specialist; Supplier Relationship Management. Job Summary. Provide leadership in building… Read More »

The post Specialist Supplier Relationship Management at CRDB Bank appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Specialist; Office Application Support at CRDB Bank

Specialist; Office Application Support  VACANCIES – DEPARTMENT OF ICT BACKGROUND CRDB Bank Plc is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill the vacant positions existing in the Department of ICT. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals to fill the following positions: Specialist; Office Application Support. Job Summary. Responsible for providing timely… Read More »

The post Specialist; Office Application Support at CRDB Bank appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Ngoma Mpya Kali Balaa!! : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - NIDHAMU


Msanii wa Nyimbo za Asili Kisima ' Nyanda Majabala' kutoka mkoani Simiyu ameachia ngoma mpya kabisa mwaka 2020...Hii hapa inaitwa Nidhamu..Bonge la Ngoma mdau wa Nyimbo za asili..
Tazama Ngoma mpya ya Kisima 'Nyanda Majabala' inaitwa Nidhamu
Share:

Specialist; Network and Cyber Security at CRDB Bank

Specialist; Network and Cyber Security  VACANCIES – DEPARTMENT OF ICT BACKGROUND CRDB Bank Plc is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill the vacant positions existing in the Department of ICT. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals to fill the following positions: Specialist; Network and Cyber Security. Job Summary. To manage… Read More »

The post Specialist; Network and Cyber Security at CRDB Bank appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Serikali Ya Tanzania Yaunda Kamati tatu kukabiliana na corona

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali inaendelea kufanya tathmini, ili kuhakikisha inazuia virusi vya corona havienei kwa kiasi kikubwa nchini.

Waziri Mkuu Majaliwa ametoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali katika kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma.

 Alisema serikali imeunda Kamati tatu kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona ambayo ni ile ya Kitaifa inayoongozwa na yeye mwenyewe na itahusisha baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu wa wizara na Msemaji Mkuu wa Serikali.

 Ameitaja kamati ya pili kuwa ni ile ya Makatibu Wakuu  kutoka Wizara mbalimbali na itaongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi na kamati ya tatu ni ya Kikosi Kazi cha Taifa ambayo itaongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto huku wajumbe wake wakiwa ni wataalamu akiwemo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Awali akizungumza katika kikao hicho Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alisema kuwa katika kipindi cha saa 24 zilizopita, zaidi ya watu laki mbili na tisini elfu duniani wamebainika kuambukizwa virusi vya corona na kati yao 12,784 wamefariki dunia.

 Aidha, Barani Afrika watu 736 wamebainika kuambukizwa virusi hivyo vya corona, huku Ishirini wakifariki dunia katika kipindi hicho cha saa 24 zilizopita.


Share:

ATCL yafuta safari kwenda Comoro, Uganda, Burundi Kukabiliana na Virusi Vya Corona

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imefuta safari zake za kwenda nchini Comoro, na hivyo kuifanya iwe imefuta safari zake kwenda kwenye mataifa manne tangu kutokea kwa mlipuko wa virusi vya corona katika mataifa mbalimbali duniani.

Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Mhandisi Ladislaus Matindi amesema kuwa ndege ya ATCL inafanya safari yake ya mwisho hii leo kutoka Dar es salaam kwenda Comoro, na baada ya hapo abiria ambao tayari wamekata tiketi kwa ajili ya safari watarudishiwa fedha zao bila chaji yoyote ya ziada.

Safari nyingine zilizofutwa na ATCL kwenda nje ya nchi ni pamoja na ile ya kwenda Mumbai nchini India baada ya serikali ya nchi hiyo kuzuia wageni kuingia nchini humo hadi Aprili 15 mwaka huu, ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.

Safari nyingine zilizofutwa na ATCL ni ile ya kutoka Dar es salaam kwenda Entebbe Uganda na ile ya kutoka Dar es salaam kwenda Bujumbura Burundi, sababu ikiwa ni hiyo hiyo ya mlipuko wa virusi vya corona.


Share:

Ajali Yaua Watano Daraja La Mchepuko Kiyegeya Morogoro

Watu watano wamefariki Dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya Lori la mizigo kuligonga gari dogo aina ya Toyota Noah wakati likisubiri kuvuka katika Daraja la mchepuo la Kiyegeya,Morogoro na magari yote yakatumbukia kwenye shimo ambako ujenzi unaendelea. 

Akizungumzia chanzo cha ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa chanzo Cha ajali hiyo ni kufeli kwa breki za roli lililobeba shehena ya cement yenye namba za usajili T233 BXZ na kugonga gari ndogo aina ya Toyota Noah yenye namba za usajili T623 CGY iliyokuwa imebeba abiria kutoka Dumila kuelekea Gairo na kusababisha vifo vya watu wanne hapo hapo na mmoja akifariki wakati akipatiwa matibabu hospitalini.


Share:

Maambukizi ya virusi vya corona Afrika Kusini yafikia 402 ....Nchi Nzima Yawekwa Karantini

Maambukizi ya virusi vya corona nchini Afrika ya Kusini yameongezeka na kufikia watu 402, ikilinganishwa na watu 128 siku moja kabla na kulifanya taifa hilo kuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha maambukizi barani Afrika.

Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo

Ramaphose amesema wakati wa mpango huo ambao unatarajiwa kumalizika Aprili 16 hakuna mtu ataruhusiwa kutokana nyumbani na watakosimamia jambo hilo ni idara ya maafa ya nchi hiyo.

Amesema katazo hilo la watu kutoka ndani halitawahusu watu wa idara ya majanga, polisi na watumishi wa afya ambao watakuwa wakiwazungukiwa wananchi kuwapatia mahitaji muhimu ambayo ni pamoja na chakula.

 Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na wizara ya afya zaidi ya nusu ya visa vilivyotokea Afrika Kusini vimepatikana katika jimbo la Gauteng, linalolijumisha jiji la Johannesburg, ambalo ni kubwa kabisa nchini humo lenye idadi ya watu milioni 5.7, na mji mkuu Pretoria ambao una watu milioni 2.4. 

Afrika Kusini sasa inaipiku Misri kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ingawa bado hakujaripotiwa kifo. 

Idadi kubwa ya visa vya maambukizi vinawahusisha wasafiri kutoka Ulaya na mataifa mengine, ingawa idadi ya maambukizi ya ndani pia inaongezeka.


Share:

WASAFIRI WATAKAOPITA MPAKA WA TUNDUMA KUWEKWA KARANTINI SIKU 14

Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Songwe imeanza utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli la kuwataka wasafiri waliotoka katika nchi zenye maambukizi ya Virusi vya Corona kukaa karantini kwa muda wa siku 14 kwa gharama zao.


Jana wajumbe wa Kamati hiyo wametembelea eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia uliopo eneo la Tunduma Mkoani Songwe ili kutathmini utayari wa kuanza zoezi la kuwaweka eneo tengefu yaani karantini wasafiri wote watakaotumia mpaka huo unao julikana kwa kuwa na watumiaji wengi zaidi nchini kutoka nchi mbalimbali.

Wajumbe hao wamekubaliana kuanza mara moja zoezi la kuwatenga wasafiri wote watakaoingia nchini kupitia Mpaka wa Tunduma kwa gharama zao na kwa muda wa siku 14, ambapo zoezi hilo lilitarajiwa kuanza jana Machi 23, 2020 usiku huku maandalizi ya maeneo na mahitaji mengine kwaajili ya kuwatenga yakiendelea kufanyika.

Pia wameweka mkakati wa kufanya kaguzi mbalimbali katika nyumba za kulala wageni ili kubaini endapo kuna wageni ambao wataingia nchini kwa kutumia njia zisizo halali na kukwepa kukaa karantini huku ulinzi ukiimarishwa Zaidi katika eneo lote la Mpaka.

Aidha wamewasihi wananchi wote kuendelea kuchukua hatua za tahadhari ili kujikinga na ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kunawa kwa maji na sabuni, kujiepusha na mikusanyiko isiyo ya lazima kwani kinga ni bora Zaidi kuliko Tiba.


Share:

Tanzania ya viwanda inavyohitaji mazingira bora kukuza ubunifu wa kiteknolojia

Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia.

Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo cha Sayansi na Elimu ya Ufundi chuoni hapo Dkt John John aliisihi Tume ya Sayansi na Teknolojia nchini (COSTECH) kutengeneza mfuko wa fedha kutambua na kusaidia vyuo na wanafunzi katika tafiti na maendeleo. 

 
Dkt John aliongeza kuwa mfuko wa kusaidia wa namna hiyo utasaidia kukuza ubunifu wa kibiashara katika teknolojia na utanufaisha taifa katika lengo lake la kuwa na uchumi wa viwanda, jambo ambalo sote tunafahamu kuwa ni lengo kubwa la Rais Dkt Magufuli.

Kutokana na kukweli huu, ni vyema basi tukajadili na kutafakari namna gani kama taifa tunaweza kuwa na mipango inayokuza ubunifu katika teknolojia ili kusukuma mbele kasi ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.Hatuhitaji kutazama mbali sana kuona matunda ya uchumi bunifu katika zama hizi za teknolojia. 

 
Tazama kwa mfano sekta ya mawasiliano ya simu namna ambavyo imekua si tu kwa ajili ya kupiga/kupokea simu na kutuma meseji. 
 
Leo hii simu si tu ya kupiga na kutuma meseji, bali simu sasa inatuma fedha, inaperuzi mtandao, inatusaidia kupata huduma za afya, na kadhalika. 
 
Sekta nyingi zinaweza kutazama sekta ya mawasiliano ya simu na kujifunza kuhusu ubunifu. Mazingira bora ya biashara ni msingi wa kujenga ubunifu wa kiteknolojia ambao leo tunauona na kufaidika na matunda yake katika sekta ya mawasiliano ya simu.
 
 Bahati nzuri, sera ya kujenga mazingira bora na endelevu ya biashara imo katika mpango wa maendeleo wa miaka mitano wa serikali.

Ubunifu katika teknolojia ambao tunauhitaji ili kujenga Tanzania ya viwanda kama ambavyo tumeuona kwenye sekta ya mawasiliano ya simu utawezekana kama tukiendelea kujenga mazingira rafiki ya kufanya biashara na kuunga mkono uwekezaji toka sekta binafsi.



Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne March 24























Share:

Monday, 23 March 2020

Senior Network Specialist (WAN/LAN) at NMB Tanzania

Senior Network Specialist (WAN/LAN) Job Purpose To plan, organize and deliver cost effective and efficient network infrastructure services (WAN/LAN) that meets and exceeds business and customers’ expectations (availability, performance, resiliency, security and continuous improvement). Main Responsibilities Review and validate internal customer/business requirements in order to create High-Level and Low-Level Network Designs that meets and exceeds the requirements. Develop,… Read More »

The post Senior Network Specialist (WAN/LAN) at NMB Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

MBOWE ATANGAZA KUSITISHA MIKUTANO YA CHADEMA KUKABILIANA NA CORONA


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia kwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, kimetangaza kusitisha kufanya mikutano yake ya hadhara nchi nzima, kama kilivyokuwa kimetangaza na badala yake kitaungana na Taifa katika kupambana na janga la ugonjwa wa Virusi vya Corona.

Akizungumza leo Machi 23, 2020, Jijini Dodoma, Mbowe amesema kuwa wakati anatoa kauli yake ya kutangaza uwepo wa mikutano ya hadhara kwa nchi nzima, Serikali haikuwa imetangaza uwepo wa mgonjwa yeyote wa Virusi vya Corona na kwamba wataendelea na mikutano yao pale ambapo hali ya ugonjwa huo itakuwa imetengemaa.

"Na moja ya ushauri uliotolewa ni pamoja na kuzuia mikusanyiko mikubwa mikubwa, kwahiyo sisi tutaahirisha shughuli zote hizo za mikusanyiko mikubwa ndani ya chama chetu na tutashirikiana na Watanzania wenzetu kuchukua tahadhari ili kuhakikisha kwamba tunaweza kupambana kikamilifu na janga hili la Corona" amesema Mbowe.

Aidha Mbowe ameiomba Serikali ione ipo haja ya kufunga mipaka yake yote ili kuhakikisha hakuna mgeni yoyote anayeingia nchini kutoka kwenye Mataifa yaliyoathirika na Virusi vya Corona.
Share:

Head Of Human Resources at Achyutam International Dar es Salaam, Tanzania

An ideal candidate will be having a minimum of 5 years of working experience at HR management level with total 15 years of HR experience Location: Tanzania Qualification: Bachelor’s degree in Human Resource Management, Sociology, Organisation Psychology, Public Administration or any other related field Responsibilities: Formulate yearly human resources strategy such as manpower planning and training plan for the… Read More »

The post Head Of Human Resources at Achyutam International Dar es Salaam, Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Senior Specialist; Acquiring Products & Merchant Support at NMB Tanzania

At NMB we believe that our clients and employees make our stronghold and when they achieve their ambitions, we do too. To accomplish this we need individuals with creative and innovative solutions who are willing to go the extra mile for their future, our clients and the bank. We promise to provide you with a world of opportunities… Read More »

The post Senior Specialist; Acquiring Products & Merchant Support at NMB Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Senior Specialist; Insurance Claim at NMB Tanzania

Senior Specialist; Insurance Claim at NMB Tanzania   Job Purpose To manage all claim payments and attend the customer complaints as per agreed timelines for both general and life insurance products, and ensure the Bank is covered at all times with the risk arising from collaterals.   Main Responsibilities Responsible for all life and general insurance claims Oversee the embedded… Read More »

The post Senior Specialist; Insurance Claim at NMB Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Specialist; Enterprise Applications Support at NMB Tanzania

Specialist; Enterprise Applications Support at NMB Tanzania   Job Purpose To ensure implementation, continuous availability and security of Enterprise Applications Main Responsibilities Fully responsible with the implementation, maintenance and administration of the Enterprise Application Systems including but not limited to entire Active Directory (AD) System, Email Systems, HR Management System, ERP, E-learning Systems and internal developed systems. Serve… Read More »

The post Specialist; Enterprise Applications Support at NMB Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger