Baadhi ya wakazi Mombasa nchini Kenya sasa wameanza kuitumia pilipili kama kifaa cha kuadhibia watu wanaokutwa na makosa kwa mfano wizi.
Katika video ambayo sasa inasambaa kwa kasi mtandaoni na kufuatiliwa na watu mbalimbali, jamaa anayedaiwa kuiba jozi ya viatu alilazimishwa kula pilipili.
Haijafahamika...
Monday, 4 February 2019
SAKATA LA TRILLION 1.5 BADO PASUA KICHWA,WAPINZANI KUHAMISHIA MAJIMBONI
Wabunge wa kambi ya upinzani wamesema watalihamishia sakata la utata wa Sh.1.5 Trilioni majimboni kwao baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhitimisha kuwa fedha hizo hazikuibiwa au kupotea. Uamuzi huo wa wapinzani umetolewa na Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF). Bobali amesema kuwa ingawa kamati imehitimisha hivyo, wao wataendelea kuwasha moto akidai kuwa fedha hizo zilitumika...
WAGANGA WA JADI WAKIMBIA NJOMBE
Na Amiri kilagalila Baadhi ya waganga wa jadi wasiokuwa na nia Njema wameanza kutoroka mkoani Njombe na kukimbilia mikoa ya jirani kutokana na msako mkali wa jeshi la polisi unaoendelea mkoani humo ili kuwabaini wanaojihusisha na ramli chonganishi zinazosababisha mauaji ya watoto. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,kamanda wa polisi mkoa wa Njombe RENATHA MZINGA amesema kuwa jeshi la...
Picha : TVMC YAFADHILI VIJANA KUSOMA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI,YAKABIDHI VIFAA MUHIMU
Shirika la lisilo la kiserikali la The Voice of Marginalized Community (TVMC) linalotoa huduma za kijamii kwa upande wa vijana ,watoto na wanawake na makundi yasiyojiweza limewafadhili vijana watano wa kike kuendelea na masomo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) Buhangija katika Manispaa ya...
PAPA AANZA ZIARA RASMI FALME ZA KIARABU

Ziara hiyo ya kiongozi wa kanisa Katoliki duniani ni ya kwanza kuwahi kufanywa na kiongozi wa kanisa hilo kwenye rasi ya Uarabuni.
Lengo ni kufungua ukurasa mpya katika uhusiano baina ya wakristo na Waislamu.
Mrithi wa mfalme wa Abu Dhabi Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan alimpokea Papa...
AMUUA MKEWE KISHA NAYE KUJIUA KISA UGOMVI WAKE NA MAMA MKWE

Wakazi wa kijiji cha Ober, Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya wameshangazwa na tukio la mwanaume aitwaye Paul Ochieng', (21) kujiua mara baada ya kumpiga mpenzi wake Beryl Atieno na kumtoa uhai.
Inadaiwa Paul Ochieng' aligombana na mpenzi wake Beryl Atieno, 18, Ijumaa,...
HARMONIZE AMJIBU MAKONDA "NILIYEJIPOST NA MIMOSHI YA SIGARA NA HAWA WACHEZAJI WA SIMBA NANI WAKUSOKOMEZWA NDANI TUKITUA BONGO?

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amejibu tuhuma iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba huwenda akawa anatumia bangi baada ya kuonekana akivuta sigara yenye moshi mzito katika moja ya video ambayo aliiweka mitandaoni.
Mkuu huyo aliyasema hayo hivi karibuni wakati akizungumza na...
ASKOFU MAJEBERE : WAHUSIKA MAUAJI YA WATOTO NI WANASIASA WATEJA WAKUBWA WA WAGANGA WA JADI

Moja ya mwili wa mtoto ambaye alikuwa ameuawa mkoani Njombe mapema wiki iliyopita
**
Wakati watoto saba wakiwemo watatu wa familia moja wenye umri chini ya miaka 10 wakiripotiwa kufariki katika mazingira ya kutatanisha mkoani Njombe, Askofu wa Kanisa la Ufunuo Tanzania Mkoa wa Geita, Heryyabwana Majebere,...
AMUUA MKEWE KWA KUMNYONGA AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA WANAUME WANAOMPA POMBE KAHAMA
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Maselle Mheziwa (40) mkazi wa Kagongwa wilayani Kahama ameuawa kwa kunyongwa shingo na mmewe aitwaye Omary Juma (46),mkazi wa Kagongwa kutokana na ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa...
Usikubali Kupitwa na Habari Moto Moto : Pakua App ya Malunde1 blog Tukupe Uhondo Wote..Bonyeza Hapa
Kuwa wa Kwanza kupata habari na matukio yanayojiri Tanzania na dunia kwa ujumla kwa kupakua/ kudownload App ya Malunde 1 blog tukuhabarishe masaa 24.
Tembea na dunia kiganjani mwako sasa.
Pakua App mpya ya Malunde 1 blog imeboreshwa zaidi ili kukidhi mahitaji ya wasomaji wetu....
MWANAFUNZI WA DARASA LA NNE AJIUA DAR
Mtoto wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Msewe jijini Dar es Salaam, Daniel Mussa (10), anadaiwa kukutwa amejinyonga chumbani kwake nyumbani kwao Kimara Kona jijini.
Tukio hilo lililotokea Januari 30,2019 limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Jumanne Muliro, aliyedai uchunguzi...
WAZIRI WA ELIMU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI SITA WA CHUO CHA PATANDI

Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amewasimamisha kazi watumishi sita wa chuo cha elimu maalum Patandi mkoani Arusha kwa tuhuma za kushindwa kusimamia majukumu yao na pia matumizi mabaya ya zaidi ya bilioni 2.3 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya chuo hicho.
Waziri...
TUNDU LISSU AMJIBU BALOZI WA TANZANIA UJERUMANI

Siku chache baada ya Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dk Abdallah Possi kutoa taarifa ya kumjibu Tundu Lissu kutokana na madai aliyoyatoa alipohojiwa na kituo cha televisheni cha Deutsche Welle nchini humo, mbunge huyo wa Singida Mashariki (Chadema) ameibuka na kumkosoa balozi huyo.
Katika maelezo...
SERIKALI KUFUMUA SHERIA YA UVUVI
Na.Amiri kilagalila Serikali imeamua kuifumua Sheria ya Uvuvi Namba 22 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2009 ili kuondoa vikwazo vya kibiashara na uwekezaji katika sekta ya uvuvi. Pia kwenda na kasi ya mabadiliko ya Serikali ya awamu ya tano inayolenga kujenga Tanzania ya viwanda, kuwatetea na kuwalinda wanyonge. Akizungumza katika uzinduzi wa ukusanyaji maoni ya wadau kuhusu rasimu ya Sheria...
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA LEO FEBRUARI 4,2019.
Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 4, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.
Sourc...
Sunday, 3 February 2019
CCM TABATA YAOMBA WANACHAMA WASICHAFUANE
Na Heri Shaban Chama cha Mapinduzi CCM Mtaa wa Kimanga darajani imewataka wana CCM wasichafune katika kipindi hiki cha kuelekea chaguzi za Serikali za Mitaa badala yake wanachama wa chama hicho wametakiwa wajenge chama na Jumuiya zake. Hayo yalisemwa na Katibu Mwenezi wa CCM Kimanga Deogratius Mkude wakati wa hafla ya mkutano mkuu wa CCM Kimanga darajani. Mkude alisema wakati CCM ikielekea katika...