
Mkazi wa mtaa wa Nakayaya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Awetu Makunula (44) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio jirani na nyumbani kwa wazazi wake.
Mume wa marehemu Awetu, Salum Namtikwe, amesema usiku walilala wote na kabla ya tukio hilo mkewe aliamka saa 11 alfajiri na kumuaga kuwa anatoka...