1st Batch of Postgraduate Candidates Admitted for the 2016/2017 Academic Year
Click to Download >>1st Batch of Postgraduate Candidates Admitted for the 2016/2017 Academic Year
...
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe amekamilisha ziara ya
siku nne Singida, Tabora, Shinyanga na Geita ambapo amefanya mkutano wa
hadhara katika uwanja wa Mnadani na kuwajumuisha wananchi wa Katoro na
Buseresere...
Wakati
jana Rais Magufuli akiwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga alimpa
nafasi aliyekuwa Mbunge wa Kahama kwa tiketi ya CCM na baadae kuhamia
CHADEMA, James Lembeli ili azungumze.
Lembeli
aliongea mambo kadhaa ikiwemo hatma yake kurudi CCM ambapo...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema
serikali yake haitagawa chakula cha bure kwa wananchi wanaopatwa na
tatizo la njaa pasipo kuwa na sababu za msingi na badala yake amewataka
watanzania wajikite kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ikiwa...