INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Sunday, 31 January 2016
Saturday, 30 January 2016
Friday, 29 January 2016
PICHA:ATHARI YA MVUA DAR ZAANZA KULETA MAFURIKO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kituo
cha daladala za kwenda Gongolamboto cha Suwata Kariakoo kikiwa kimejaa
maji hivyo kuleta adha kwa watumiaji kufuatia mvuo hizo.
Dimbwi la maji likiwa mbele ya jengo la Yanga.
Daraja la Jangwani na Kituo cha mabasi ya mwendokasi kikiwa kimezingirwa na maji.
Magari yakipita kwenye dimbwi la maji barabara ya mtaa wa Lindi Ilala.
Moja
ya vibanda wanavyoishi wananchi waliobomolewa eneo la Kinondoni Mkwajuni
maji yakipita katikati yake jambo ambalo ni hatari kwa watu wanaoishi
ndani humo.
Nyumba ikiwa imezingirwa na maji eneo la Mchikichini Ilala kufuatia mvua hiyo iliyonyesha leo
Vijana wakiuangalia Uwanja wa Klabu ya Yanga ulivyojaa maji.