Saturday, 12 December 2015

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 12.12.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY





Share:

Friday, 11 December 2015

MAGAZETI YOTE YA LEO IJUMAA DECEMBER TAREHE 11/12/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY





Share:

Thursday, 10 December 2015

MAGUFULI ATANGAZA MAJINA BARAZA LA MAWAZIRI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Magufuli: 
"Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure."
Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo

Mazingira: Makamba, naibu Makamba

Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma

Ulemavu: Mavunde

Kilimo, mifugo na uvuvi: Mwigulu Lameck Nchemba, Nashe naibu

Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Ngonyani.

Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Kijachi

Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu

Katiba na sheria: Waziri Mwakyembe

Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nmemteua mbunge na waziri, Naibu Dr Suzan

Ulinzi na kujenga taifa: Waaziri Dr. Hussein Mwinyi

Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula

Utalii: Waziri bado

Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage

Sayansi na ufundi: Naibu ni Stella Manyanya

Afya na Ustawi wa jamii: Ummy Mwalimu, Naibu ni Kingwangala

Habari: Nape Nnauye

Wizara ya maji na umwagiliaji: Makame Mbarawa, Naibu ni Kamwene
Share:

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DEC 10.12.2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

DSC09727

DSC09728
DSC09729
DSC09730
DSC09731
DSC09732
DSC09733
DSC09734
DSC09735
DSC09736
DSC09737
DSC09738
DSC09739
DSC09740
DSC09741
DSC09742
DSC09743
DSC09744
DSC09745
DSC09747
DSC09748
DSC09749
DSC09750
DSC09751
DSC09752
DSC09753
DSC09754
DSC09755
DSC09756
DSC09757
DSC09758
DSC09759
DSC09760
DSC09761
DSC09763
DSC09764
DSC09765
DSC09766
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger