INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Academic Vacancies
Please click here to view the available academic vacancies at the University of Dar es Salaam.
...
Sunday, 2 August 2015
SAID FELLA ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MAONI KWA KUPATA KURA ASILIMIA 87 KWA KURA ZOTE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Asante
MUNGU asante wadau asante tmk WANAUME family asante wcb asante mkubwa
na wanawe asante tip top connection asante wanachama wenzangu asante
wadau wetu asanteni kila mmoja wetu anae kubali harakati zangu jana ni
siku nyengine nimetengeneza history kwa kupigiwa...
TCU YAONGEZA MUDA WA KUTUMA MAOMBI KIDATO CHA SITA HADI TAREHE 31/08/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tume ya vyuo vikuu kupitia tovuti yake imesogeza mbele muda wa kuomba maombi kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2015/2016 kusogeza muda wa kutuma maombi hadi tarehe 31/08/2015.
mpe taarifa mwenzako...
Saturday, 1 August 2015
Makinda kutogombea ubunge
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SPIKA
wa Bunge, Anne Makinda amesema amekuwa mbunge kwa miaka 40, hivyo
ameamua kuwaachia wengine na kuwaonya wanawake wanaogombea nafasi
mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao kutolia au kulalamika jukwaani
kwani ni udhaifu mkubwa....
Dr. Slaa afunguka kuwasilisha leo mpango mkakati wa ushindi mbele ya Sekretarieti
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza.
Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na
upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una
lengo lako ambalo...