INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Christian Bella ni muimbaji anayeamini kuwa ili msanii afanikiwe zaidi anahitaji kuwa na management nzuri.
Muimbaji huyo wa ‘Nashindwa’ ameisifia management ya Diamond na kuongeza kuwa endapo angeweza kuwa na watu imara wa kumsimamia angekuwa mbali zaidi ya hapo alipo.
- “Mi napenda kusema ukweli, Diamond yuko vizuri na management yake wanajitahidi vizuri, yeye