INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari
tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba mwanafunzi
aliyefahamika kwa jina la Yunis Festo aliyekuwa anasoma kidato cha nne
katika shule ya sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika kijiji cha Bulima
wilaya ya Busega amefariki dunia .
Yunis
Festo aliyezaliwa tarehe 26.02.1996 amefariki dunia saa 11 alfajiri ya
leo zikiwa zimesalia saa chache tu kuanza kufanyika kwa mtihani wa
kidato cha Nne kote nchini ulioanza leo.