...
Wednesday, 2 April 2014
NAPE:CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na
waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati
akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la
Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na
Changamoto...
MAJINA YA WALIMU WA DIPLOMA WALIOBADILISHIWA VITUO
ORODHA YA WALIMU WA STASHAHADA WALIOBADILISHIWA VITUOANWANI CHUO MASOMO F BOX 334 UKEREWE BUNDA HISTORY/ENGLISH GAIRO TARIME(V)2 AGNESS KILEO F 31359 DSM MOROGORO HISTORY/ENGLISH MASWA MVOMERO3 AIDANI EDWIN M BOX 4256 MBEYA DAKAWA GEOGRAPHY/KISWAHILI KARAGWE ILEJE4 ANNA NGATUNGA F BOX 42100 DSM MTWARA GEOGRAPHY/KISWAHILI LINDI(M) LINDI(V)5 AYUBU ASHERI M 1004 IRINGA KLERUU PHYSICS/CHEMISTRY BUKOBA(V)...
WATANZANIA WENZANGU CCM hawakutaka Katiba Mpya na haitatokea
Nawasikitikia Watanzania wenzangu waliokaa mkao wa kula wakisubiri Katiba mpya.
Nasikia wengine wanafunga na kuomba ili Katiba ipatikane, wengine wamejawa tu na matumaini.
Ya Mungu mengi, inawezekana Katiba Mpya ikapatikana, lakini kwa mwendo huu, tayari matumaini yametoweka.
Kinachoendelea bungeni kwa sasa kimeanzia mbali. Mtoto wa nyoka ni nyoka, usijidanganye ukamsogezea kidole.
Wengi walijaa...
VIDEO:MAN U YAKAZA MWANZO MWISHO
London, England. Manchester United na Barcelona
zimeshindwa kutumia vizuri viwanja vyao vya nyumbani baada ya
kulazimishwa sare 1-1 na Bayern Munich na Atletico Madrid katika michezo
ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa jana.
Manchester United wakiwa kwenye uwanja wao wa Old
Trafford, walipata bao la kuongoza dakika 58, kupitia nahodha wake
Nemanja Vidic akiunganisha kwa kichwa...
UTAJIRI WA MASANJA KUFURU
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja
Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni
mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko
linakupa zaidi.
Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo...
Tuesday, 1 April 2014
MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA GEREZA LA KEKO
PIPI
60 za madawa ya kulevya aina ya heroine yanayokadiriwa kuwa na thamani
ya shilingi milioni 60 yanadaiwa kukamatwa ndani ya Gereza la Keko jijni
Dar es Salaam baada ya mtu mmoja kuingia nayo akiwa ameyameza.
Madawa ya kulevya.
Kwa mujibu wa chanzo, mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Mashujaa...
LULU KAIBA BWANA WA MTU
Habari zinaeleza bifu lao limefikia hatua ya kuanikana waziwazi hadi
kumwagiana matusi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram lakini
huondoa majibizano yao machafu kila baada ya muda mfupi.
Chanzo cha habari hizi kinapasha kuwa ugomvi wa Lulu na Husna ni juu ya mwanaume huyo ambaye anaishi...
Monday, 31 March 2014
YANAYOENDELEA BUNGE LA KATIBA DODOMA 31st MARCH 2014
Raza: Tuache utoto tujadili Katiba
Dodoma. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mohamed Raza ametaka wajumbe
wenzake kuheshimiana bila kujali wingi au uchache wa wajumbe kwenye
makundi yao, kama kweli wana dhamira ya dhati ya kutunga Katiba.
Akizungumza na gazeti hili, Raza alisema mwenendo
wa Bunge siyo mzuri na hauleti picha nzuri kwa mamia ya wananchi ambao
wanategemea wapatiwe Katiba bora itakayoondoa...
Bunge livunjwe tukawaombe radhi wananchi- Mjumbe
Bunge livunjwe tukawaombe radhi wananchi- Mjumbe
Laizer pia amewataka wajumbe wenzake kurudi katika
maeneo yao ili wakaombe radhi kwa Watanzania kutokana na ufujaji wa
fedha unaotokana na kuwepo kwao kwenye vikao vya Bunge.
Dodoma. Mivutano katika Bunge la Katiba
imemchukiza mmoja wa wajumbe wa chombo hicho, Michael Laizer ambaye
amemshauri mwenyekiti wake, Samuel...
Tuboreshe Rasimu iliyopo-Zitto Kabwe
Tuboreshe Rasimu iliyopo-Zitto Kabwe
Wiki ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa
iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba
aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa
Bunge...
Picha na Taarifa Rasmi Kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango:Maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba
Vongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Prof. Longinus Rutasitara (Kushoto) na Bibi
Florence Mwanri (Kulia) wakiangalia moja ya bomba la kusafirishia gesi. Bomba
moja lina uzito wa tani tano na urefu wa mita 11. Mpaka sasa jumla ya kilomita
350...
TASWIRA ZA KAMPENI YA UCHAGUZI JIMBO LA CHALINZE KUPITIA CHADEMA

Makamanda wakiwa wamekwama kupita kwenye barabara wakielekea kwenye kampeni za Ubunge Jimboni Chalinze.
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimb la Chalinze Ndugu Mathayo Torongey akibadilishana mawazo na wanakijiji Jimboni Chalinze.
Katibu
wa CCM Kata ya Kimange Bwana Haji aliondoka...