Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Meatu, Leah Komanya amechukua fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simuyu. Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Meatu, Dotto Mazuri akimkabidhi fomu Leah Komanya lJulai 15,2020.
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Meatu, Leah Komanya akichukua fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simuyu.
0 comments:
Post a Comment