Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga amekabidhiwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mvomero huku Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo, akichukua fomu kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM
Profesa Mkumbo amekabidhiwa fomu leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 katika ofisi ya wilaya ya Ubungo na Katibu wa CCM Wilaya yhiyo, Sylvester Yared.
Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo hilo ni Saed Kubenea wa Chadema

0 comments:
Post a Comment