VIWANJA VIZURI ! TULIVU KWA MAKAZI NA BEI NAFUU KABISA !Viwanja vipo km 2 kutoka baharini ,unaingilia Mapinga au Kerege mahakamani, ardhi yake ni level na upepo wa beach unafika
20/20 Tsh mil 3.6, 20/30 Tsh mil 5.5 , 20/40 Tsh mil 7.2.Pia vipo vya mpakani na Bunju km 2 kutoka Bagamoyo road jirani na Hotel nzuri ya Kimere Resort .
Umeme,maji vipo jiran ,20/20 Tsh mil 5, 20/30 Tsh mil 7 , 20/40 Tsh mil 10.Pia kwa mahitaji ya eneo zuri la shamba kwa kufuga au hata kuishi utapata.
KARIBU SANA ! Piga 0677705808 kwa maelezo zaidi
0 comments:
Post a Comment