Mtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta
Kama Una Habari,Picha,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0757478 553 ,0625 918 527
Share:
0 comments:
Post a Comment