Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya
Juu inawajulisha kuwa kutakuwa na zoezi la kuhakiki wanafunzi wa vyuo
31 ambao awali walihakikiwa na baadhi yao hawakuhakikiwa lakini vyuo
vinawatambua kama wanafunzi wao halali.
Uhakiki utafanyika kuanzia Jumanne tarehe 27 Septemba hadi Alhamisi tarehe 29 Septemba, 2016. Katika siku hizo tatu; uhakiki utafanyika katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Yombo kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.
Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Yombo kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.
Wanafunzi husika wanashauriwa wasipoteze fursa hii ya kuhakikiwa.