TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2016/2017
Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori
Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa
kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na
Hima Sheria (BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima
Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo 2016/2017.
0 comments:
Post a Comment