Tangazo lakuitwa katika usaili Jeshi la Polisi Tanzania kwa wahitimu wa shahada, stashahada na astashahada.Bonyeza hapa kupata orodha ya majina hayo na mahali usaili utakapofanyika. Tangazo
la Wito chuo cha polisi moshi kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka
2014, kidato cha nne mwaka 2014 na JKT mwaka 2015 waliochaguliwa
kujiunga na jeshi la Polisi.Bonyeza hapa kupata majina hayo. Tangazo
la nafasi za kazi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa
kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi
Duniani. Bonyeza UNHCR vacancies
0 comments:
Post a Comment