
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Charity, amewataka wananchi kuhakikisha wanajiepusha na biashara ya kupata utajiri wa haraka baada ya kudaiwa kupoteza Sh32.7 milioni kwa kampuni iliyomlaghai.
Kulingana na ripoti, alidai alikubaliana na kampuni hiyo kwamba wangemuongezea fedha zake mara 10,...