Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita akiongea katika hafla ya ufunguzi wa mafunzo hayo
***
Katika mwendelezo wa kuwajengea uwezo wafanyabiashara wa ndani kupitia mafunzo yanayotolewa na kampuni ya Barrick nchini kupitia Programu yake ya kuendeleza biashara za ndani ili ziweze kunufaika na sekta...
Friday, 30 August 2024
SILLO AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULINDA AMANI NA MAADILI

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amewataka viongozi wa dini nchini Tanzania kuendelea kukemea vitendo vya ukiukwaji wa maadili katika jamii na visivyoendana na neno la Mungu ili kulinda mila na desturi nzuri za nchi yetu na kujenga taifa...
Thursday, 29 August 2024
WAKULIMA WA DENGU MANYARA WATAKIWA KUWASILISHA TAARIFA SAHIHI ZA KUPOKELEA MALIPO YAO

Wakulima wa dengu wanaohudumiwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Rift Valley (RIVACU LTD) Mkoani Manyara wametakiwa kuhakiki na kukabidhi taarifa zao za kupokelea fedha zikiwa hazina makosa kwa Makatibu wa Vyama vyao, ili kuepusha ucheleweshwaji wa malipo kwa wakulima ambao taarifa zao zina mapungufu.
Rai...
Tuesday, 27 August 2024
RC SENYAMULE AFUNGUA TAMASHA LA JINSIA...'RAIS SAMIA AMEUDHIHIRISHIA ULIMWENGU WANAWAKE WANAWEZA KUONGOZA'

Na Mwandishi wetu - Malunde Media
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Wanawake nchini Tanzania kujiamini na kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ujao kwani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameudhihirishia Ulimwengu...