
Na Hamida Kamchalla, TANGA.
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dkt. Batilda Buriani amesema serikali ina mpango wa kupanda miti aina ya mikoko 250 kila mwezi.
Dkt. Buriani ameyasema hayo leo Julai 26, 2024 wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Mikoko Duniani, ambapo mkoani Tanga imeadhimishwa...