
Wananchi wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wanakwenda kutatuliwa Kero yao ya Muda mrefu ya kukosekana kwa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ambalo hutumika kutatua Migogoro mbalimbali ya Ardhi inayojitokeza.
Hayo yamebainishwa leo Juni 28, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary ...