Na Oscar Assenga,Tanga
CHUO cha Bahari cha Jijini Dar es Salaam(DMI) kimeshiriki maonyesho ya Elimu,Ujuzi na Ubunifu Jijini Tanga huku wakijivunia kutoa wataalamu wenye uwezo mkubwa wa kusanifu na kuzikarabati meli kupitia Temesa na hivyo kuondoa uhaba uliokuwepo awali nchini .
Akizungumza leo...
Bw. Kalua Polikarpo, Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu (BSc. Ed) kutoka katika Idara ya Fizikia, Hisabati na Infomatiki ( PMI ) iliyo chini ya Kitivo cha Sayansi ( FoS ) abuni mfumo wa kudhibiti mtiririko wa maji unaotokea pindi maji yanapojaa kwenye matanki na kuzuia uharibifu wa pampu.
Hayo yamedhihirika...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro akizungumza kwenye Semina ya Kijamii ya Uhuru wa kujieleza.
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
KLABU ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (SPC), kwa kushirikiana na Umoja wa Klabu za Habari Tanzania (UTPC), imeendesha Semina ya Kijamii juu ya Uhuru wa...