Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa Simiyu (SMPC) kupitia mkutano wake Mkuu maalumu uliofanyika leo Desemba 30,2022 Mjini Bariadi, imemtunuku Cheti Cha heshima mbunge wa Jimbo la Itilima Mkoani humo Njalu Silanga (CCM) kutokana na mchango wake uliotukuka kwenye taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake...
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe amesema hakutakua na uhamisho wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule za kutwa kuhamia bweni.
Shemdoe ametoa agizo hilo Desemba 29, 2022 Dodoma katika kikao kazi cha kufanya tathmini...
Nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazili na klabu ya Santos FC, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki Dunia mara baada ya kusumbuliwa na saratani kwa muda mrefu mpaka kufikia kulazwa hospitali hivi karibuni.
Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi...
Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a nchini Kenya wanamshikilia mume pamoja na mkewe wenye watoto wanne wa kike baada ya mtoto wao kufichua kuwa baba yao amekuwa akiwabaka.
Mume huyo anasemekana kufanya vitendo hivyo vya kuogofya huku mkewe akifahamu kikamilifu matendo yake nyumbani...
Tunapoelekea kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka 2022 mambo mbalimbali yenye tija na manufaa kwa wananchi yamefanyika kufuatia mwongozo na maelekezo ya Mwanadiplomasia No 1 na Rais...
Kiungo wa Yanga Feisal Salum Abdallah (Fei toto) asubuhi ya leo Alhamis Disemba 29, 2022 ameichezea Timu yake ya zamani JKU kwenye mchezo wa Kirafiki dhidi ya Mlandege kwenye Uwanja wa Mao Zedong, Zanzibar ambapo JKU walifanikiwa kupata ushindi wa Mabao 4-2 .
Katika mchezo huo Fei alicheza dakika...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Jenerali (Mstaafu) George Mwita Waitara ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa gofu ambao umebeba jina la SERENGETI NATIONAL PARK GOLF COURSE wa kipekee duniani katika eneo la Fort Ikoma Wilayani Serengeti Mkoa...