...
Sunday, 30 October 2022
BIBI MWENYE JINO MOJA AENDELEA KUTINGISHA MITANDAO YA KIJAMII
Bibi kizee Mkenya anayefahamika kwa jina la Shosh Wa Kinangop amewafurahisha mashabiki wake kwa lugha ya mtaani ya shembeteng. TAZAMA Mambo yake <HAPA>
Bibi huyo anayejaribu bahati yake katika ulimwengu wa mitandaoni kuunda maudhui hivi majuzi alijiunga na TikTok, na anapiga hatua kubwa.
Akiwa...
BUNGE LA AFRIKA KUANZA KUUNGURUMA RASMI KESHO... HII HAPA RATIBA
Ufunguzi Rasmi wa Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la Sita wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament - PAP ) unatarajiwa kufanyika kesho Jumatatu Oktoba 31,202 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika Midrand, Johannesburg Afrika Kusini.
Sherehe za ufunguzi wa Mkutano huo wa Bunge la Afrika...
WAZIRI NDALICHAKO AWAPONGEZA WAWEKEZAJI KWA KUTOA AJIRA KWA WATANZANIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako(kulia) akizungumza na mwekezaji wa kiwanda cha vinywaji cha U-fresh Food Limited (Wapili kushoto) wakati wa ziara yake ya kutembelea maeneo ya kazi katika Mkoa wa Pwani akiambatana na Mkuu wa Wilaya...
MRADI WA MAJI WA SH.BILIONI 1.6 KWENDA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI HIFADHI YA TAIFA RUAHA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV- Ruaha
HIFADHI ya Taifa ya Ruaha imesema kwa sasa kuna mradi mkubwa wa maji ambao unaendelea katika eneo la Malumbe Kijiji cha Tungamalenga kwa lengo la kuhakikisha maji hayo yanafika kwenye eneo la ndani ya hifadhi hiyo, ili kuondokana na adha ya kukosa maji safi na...
Saturday, 29 October 2022
MTOTO WA MIAKA MITATU ADAIWA KUBAKWA UCHOCHORONI SHINYANGA

NA HALIMA KHOYA,SHINYANGA
Mtoto mwenye umri wa miaka 3 (jina limehifadhiwa) mkazi wa mtaa wa dome Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kubakwa mtu ambaye hakufahamika mara moja katika maeneo ya uchochoroni jirani na nyumbani kwao.
Tukio hilo limetokea jana Oktoba 28, 2022 majira...
WABUNGE WAPYA WA BUNGE LA AFRIKA 'PAP' WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI
Sekretarieti ya Bunge la Afrika (Pan - African Parliament - PAP ) imeendesha semina elekezi kwa Wabunge 11 wapya wa Bunge la Afrika wakiwemo kutoka Burundi, Morocco, Msumbiji, Somalia na Tanzania kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la sita wakati wabunge hao wapya wakitarajiwa...
JE UMEWAHI KUSIKIA HABARI ZA MWANAMALUNDI?? YULE MSUKUMA MWENYE MIUJIZA?? ....SOMA HAPA

Mwanamalundi ni jina ambalo lilikuwa maarufu sana karne ya 18 na 19 (enzi za mkoloni) maeneo ya kanda ya ziwa; hususani Mwanza na Shinyanga. Habari za huyu mtu zimewahi kuandikwa kwenye kitabu kiitwacho "MWANAMALUNDI: Mtu maarufu katika Historia ya Usukuma". Ni kitabu ambacho kiliingizwa kwenye mtaala...