RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu jamaa wa marafiki kufuatia kifo cha mtangazaji mkongwe wa ZBC televisheni, Bi.Sharifa Maulid.
Katika salamu hizo za pole, Rais Dkt. Mwinyi ameeleza kusikitishwa na kifo cha mtangazaji...
Friday, 29 July 2022
JITIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA FULL POWER

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu ,shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU...
MUME WANGU ALIPANGA KUNIFURUSHA BAADA TU YA KUPATA KIDOSHO MJINI
Kwa jina ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne sasa. Tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote lililokuwa na kuvunja uhusiano wetu kuja miogoni mwetu.
Benson alikuwa ni mwanaume ambaye alijali maslahi yangu nami...
HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE – MAKAMBA

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba (wa pili kutoka) akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha KUZA Afrika, Rob Clowes ambacho kinachakata maparachichi ili kutengeneza mafuta na bidhaa nyingine wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Kiwanda hicho kinafanya uzalishaji kwa kutumia umeme uliunganishwa na TANESCO.
Waziri...
KANISA KATOLIKI JIMBO LA SHINYANGA LAPATA MAPADRE WAPYA

MASHEMASI Watano ambao wanatarajiwa kupewa daraja la Upadre hapo kesho, na askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu, leo wamekiri imani Katoliki mbele ya askofu na Kanisa,ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya utolewaji wa daraja la Upadre.
Mashemasi hao ambao ni Emmanuel Kimambo wa...
Thursday, 28 July 2022
NAIBU WAZIRI MASANJA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA MPYA 400 MSOMERA WILAYANI HANDENI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe, Mary Masanja (Mb) akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Siriel Mchembe (kushoto) na Askari wa SUMA JKT kukagua ujenzi wa nyumba 400 kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe, Mary Masanja...
KAMPUNI YA APS YAGAWA TAULO ZA KIKE 'KIPEPEO PAD' SHULE YA WASICHANA JANGWANI

Kampuni ya Aspire Products & Services Co. Ltd (APS Company) inayojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa Taulo za kike maarufu kwa jina Kipepeo Pad imetoa na kugawa taulo za kike 1700 kwa wanafunzi wote wa shule ya sekondari ya wasichana Jangwani Girls Secondary School Jijini Dar es salaam.
Hafla...
Wednesday, 27 July 2022
CWT BAGAMOYO YAENDELEA KUTOA MISAADA KWENYE SHULE MBALIMBALI

Na Elisante Kindulu - Chalinze
CHAMA Cha walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya BAGAMOYO kimeendelea kutoa misaada mbalimbali mashuleni ikiwa ni pamoja na kusaidia vifaa vya ujenzi.
Hatua ya kusaidia vifaa vya ujenzi imekuja baada ya shule ya Sekondari ya Dunda kuezuliwa na upepo kwa choo cha wanafunzi...
RADI YAUA WATU 22

NCHINI India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo Mashariki mwa Jimbo la Bihar nchini humo.
Radi hizo ziliambatana na mwanga mkali ambapo Mkuu wa Jimbo la Bihar Nitish Kumar amewataka wananchi kufuatilia kwa ukaribu ushauri wa Mamlaka...
TANZANIA YANG’ARA UCHAGUZI MKUU WA UMOJA WA WATOA HUDUMA ZA POSTA KUSINI MWA AFRIKA (SAPOA)

Ujumbe wa Tanzania kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa SAPOA Bwana Janras Serame Kotsi (wa pili kulia). Kutoka kushoto ni Mhandisi Kulwa Fifi, Kaimu Meneja wa Biashara mtandao, Bwana Constantine Kasese, Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji wa Biashara, Janras Kotsi (SAPOA) na Elia Madulesi, Mkuu wa...