Sunday, 29 May 2022

BENARD MEMBE AREJEA CCM , AJITANGAZA MBUNGE WA CHINI CHINI....NAPE NNAUYE AELEZA VILE WANANCHI WALIVYOCHUKIA

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe amerudi rasmi kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Membe amerejea leo na kukabidhiwa kadi ya chama hicho katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Mtama,...
Share:

ANAYEDAIWA KUFANYA MAPENZI KWA NGUVU NA WANAWAKE 'TELEZA' AUAWA JIJINI ARUSHA

Mtu aliyeuawa na wananchi ** Mtu mmoja mkazi wa Sojema, Kata ya Murieti Jijini Arusha, ameuawa na wananchi baada ya kukamatwa katika nyumba ya moja ya wakazi wa eneo hilo akijaribu kufanya uhalifu, huku wengi wakimhusisha na mtu ajulikanae kama 'Teleza' anayetuhumiwa kuwaingilia wanawake kinguvu...
Share:

TBS YATOA ELIMU YA UDHIBITI UBORA KWENYE MAONESHO YA TATU YA FAHARI YA GEITA

****************************** Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya Tatu ya Fahari ya Geita yanayoendelea mkoani Geita ambayo yamejumuisha wazalishaji wa bidhaa mbalimbali wanaopatikana mkoani humo pamoja na mikoa ya jilani. Akizungumza leo Mei 29,2022 katika Maonesho...
Share:

Saturday, 28 May 2022

WANAWAKE 16 WAKAMATWA DAR TUHUMA ZA KUFANYA NGONO KWA KUTUMIA BIA, MAHINDI YA KUCHOMA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Murilo Jumanne Murilo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini UCHUNGUZI uliofanywa na Vyombo vya Dola umebaini kuibuka kwa baadhi ya wanawake wanaofundishana kufanya matendo ya ngono kwa kutumia vifaa hatarishi kama chupa za bia...
Share:

Utafiti : HAKUNA POMBE ISIYOKUWA NA MADHARA....HATA KAMA NI GLASI MOJA TU

Habari mbaya kwa wale ambao huwa wanafurahia na kufikiri kwamba bilauri moja ya mvinyo kwa siku ni nzuri kwa kiafya. Utafiti mkubwa uliofanywa duniani na kuchapishwa katika jarida la lancet umethibitisha kwamba utafiti uliofanywa awali na kuonyesha kwamba hakuna usalama katika unywaji wa pombe. Watafiti...
Share:

WAWAKILISHI WA JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WAIOMBA SERIKALI KUFANYIA KAZI RIPOTI WALIYOIWASILISHA SERIKALINI

Na Rose Jackson - Arusha. Wawakilishi wa jamii ya Wafugaji wa tarafa ya Loliondo wamewasilisha serikalini ripoti na mapendekezo ya jamii yanayohusu tarafa ya Loliondo ambapo wameomba serikali kuisoma ripoti hiyo kwanza ndipo wakae na kamati hiyo ili waweze kujadiliana waliyokubaliana. Mwenyekiti...
Share:

Friday, 27 May 2022

THPS, SERIKALI WAKUTANA NA WADAU KUPANGA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UVIKO – 19 SHINYANGA….IMANI POTOFU BADO TATIZO, HAMASA YAHITAJIKA ZAIDI

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la THPS, Dkt. Redempta Mbatia akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa wa Shinyanga leo Ijumaa Mei 27,2022 Mjini Kahama. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kupitia mradi wake wa CDC/...
Share:

TANZANIA YAKUBALIANA NA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA KUUNDA MFUKO WA KUKABILIANA NA WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) na Mawaziri kutoka Botswana, Zimbabwe, Zambia na Namibia, katika Kongamano la Tembo wa Afrika lililofanyika kwenye Hifadhi ya Hwange nchini Zimbabwe. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI), Dkt. Eblate Mjingo...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger