Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku mbili za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Hayati Rais Mstaafu wa Kenya, Mhe. Emilio Mwai Kibaki, kilichotokea tarehe 21 Aprili, 2022 jijini Nairobi.
Maombolezo hayo yataanza tarehe 29 Aprili, 2022 hadi tarehe...
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga ACP George Kyando akizungumza kwenye mdahalo wa waandishi wa habari mkoani Shinyanga.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
KLABU ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga (SPC), wamefanya mdahalo na Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, katika kujadiliana namna ya kuimarisha...