Magazetini leo Jumanne December 28 2021
MAGAZETI MENGINE TUNAKULETEA HIVI PUNDE.....
Tuesday, 28 December 2021
Monday, 27 December 2021
Technician 1 – UG Geotech at Geita Gold Mining Ltd
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The mine is situated in the […]
This post Technician 1 – UG Geotech at Geita Gold...
Operator 1 – Equipment (Gold Room)
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The mine is situated in the […]
This post Operator 1 – Equipment (Gold Room) has been...
MWAMBA WA AFRIKA, ASKOFU DESMOND TUTU AFARIKI DUNIA..HII HAPA HISTORIA YAKE

IKULU ya Afrika Kusini imetangaza kuwa Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel na mpigania haki nchini Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.
Taarifa ya ofisi ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa imeeleza kuwa Rais amesikitishwa na kifo hicho na kwa niaba ya...
Attendant 3 – Lamproom at Geita Gold Mining Ltd
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The mine is situated in the […]
This post Attendant 3 – Lamproom at Geita Gold Mining...
RAIS MWINYI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI WALIOFARIKI KWA KULA NYAMA YA KASA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliofariki kufuatia kula samaki wa aina ya kasa anayesadikiwa kuwa na sumu huko Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katika salamu hizo za rambirambi, Rais Dk. Mwinyi...
Sunday, 26 December 2021
YANGA YAZIDI KUJICHIMBIA KILELENI NBC PREMIER LEAGUE, YAICHAPA BIASHARA UNITED 2-1
***************
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Klabu ya Yanga imeendelea kusalia kileleni mwa ligi kuu NBC mara baada ya kufanikiwa kuwachapa Biashara United kwa mabao 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Biashara United ilifanikiwa kupata bao la mapema mara baada ya...
KOM PRE & PRIMARY SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO
KOM Pre & Primary School iliyopo Butengwa mkabala na Barabara ya Old Shinyanga Mjini Shinyanga inawatangazia nafasi za masomo.
Tunapokea watoto wenye umri kuanzia miaka mitatu na kuendelea.
Mlete mwanao apate msingi wa elimu bora katika mazingira yaliyo salama kwa gharama nafuu
Mawasiliano...
Saturday, 25 December 2021
ASKOFU KINYAIYA AWATAKA WATANZANIA KUENDELEA KUISHI IMANI YA KRISTO NA KUENENDA KATIKA USAWA
ASKOFU Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dodoma Mhashamu Beatus Michael Kinyaiya,akiongoza Misa takatifu ya Krismasi katika Parokia ya Mtakatifu Petro Mtume-Swaswa, sanjari na utoaji wa sakramenti ya Kipaimara kwa Vijana 60 wa Parokia hiyo.
*****
Na,Dotto Kwilasa-Malunde 1 blog, DODOMA.
ASKOFU ...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ASHIRIKI IBADA YA KRISMASI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 25 desemba 2021 wameungana na waumini wa kanisa katoliki la mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kushiriki ibada ya misa takatifu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Krismasi)...
Video Mpya : DIAMOND PLATNUMZ - UNACHEZAJE
SUPASTAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” leo Desemba 25, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa Unachezaje
...
MBWA KOKO AVAMIA DUKA LA DAWA, ASHAMBULIA WAHUDUMU
Kizaazaa kimeshuhudiwa mjini Thika nchini Kenya baada ya mbwa koko kuruka kwenye duka la dawa, maarufu Chemist kuvamia na kuwashambulia wahudumu ghafla.
Kisa hicho kilifanyika Disemba 24,2021 katika duka la Menya Chemist wakati ambapo wahudumu walikuwa kwenye shughuli zao za kila siku.
Wakazi...
KAMANDA WA POLISI MKOANI IRINGA AFANYA OPARESHENI BARABARA KUU IRINGA -MOROGORO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Allan L. Bukumbi akiambatana na Mkuu wa Usalama Barabarani wamefanya Operesheni katika barabara kuu ya Morogoro - Iringa hususani eneo la Kitonga lakini pia kutoa elimu kwa Madereva ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika hasa kipindi hiki cha Sikukuu za Mwisho...
Friday, 24 December 2021
NYOKA HATARI ZAIDI AKUTWA KWENYE SHEHENA YA MATOFALI

Nyoka huyo hatari alionekana katika upande wa dereva
Miongoni mwa nyoka hatari zaidi duniani amepatikana huko Salford baada ya kunusurika safari ya maili 4,000 katika shehena ya meli kutoka Pakistan.
Nyoka huyo aligunduliwa kwenye kontena la matofali, ambalo lilikabidhiwa kwa mtaalamu wa matofali...
TUMBILI WAFANYA KISASI, WAUA MBWA 250

Hizi ni ripoti kutokea Maharashtra, nchini India, ambapo kundi la tumbili limelipiza kisasi kwa kuwaua mbwa wapatao 250, baada ya kukasirishwa na kitendo cha mbwa kumuua kichanga chao.
Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa, tumbili hao walitekeleza mauaji hayo kwa kuwakamata mbwa na kupandanao...
TAMASHA LA 'WOMEN GALLA' LA DIVINE FM LAFANYIKA KAHAMA... WAZIRI ATAKA WANAWAKE WABADILIKE KUKUZA UCHUMI
Rais wa sauti ya Wanawake wajasiriamali Nchini Bi Maida Waziri akitoa Elimu kwa Wanawake kupitia tamasha lililoandaliwa na kituo cha matangazo Divine Radio ( Women Galla).
Na Nyamiti Alphonce Nyamiti - Kahama
Pamoja na uwepo wa fursa nyingi za kiuchumi wilayani Kahama mkoani Shinyanga imeelezwa...
ASKARI ALIYEPANDISHWA CHEO KWA KUKATAA RUSHWA YA MILIONI 10 APEWA ONYO

Meshack Samson anayefanya kazi Arusha alipandishwa Cheo kutoka Sajenti (Sgt) hadi Stesheni Sajenti (Ssgt) mwaka 2019 baada ya kukataa rushwa ya Tsh. Milioni 10.
Askari huyo ameshushwa cheo kutokana na kutotii Mamlaka ya kwenda Kozi ya Kipolisi kuendana na Cheo alichopewa, ikielezwa hakuwa na sababu...