Monday, 29 November 2021

RAIS SAMIA NA RAIS MUSEVEN WAZINDUA SHULE YA 'MUSEVENI PRE & PRIMARY SCHOOL' CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi Shule ya Awali na Msingi Museveni Pre & Primary School iliyojengwa kwa msaada wa Rais Yoweri Museveni Wilayani Chato Mkoani Geita leo tarehe...
Share:

Ngoma Mpya kali kinoma : NG'WANA SAMAKA - MCHEPUKO

Nakualika kusikiliza wimbo mpya wa Ng'wana Samaka unaitwa.. Mchepuko....
Share:

Head of Risk at KCB Bank Tanzania Limited

Head of Risk Reference Number: IRC11770 Job Summary: To provide overall strategic leadership for the Risk Function for KCBT. In addition, the role will be responsible for developing and implementing risk management initiatives and activities to ensure efficiencies in bank operations. Key Responsibilities:   Establish & Maintain risk management strategies, principles, framework and policies...
Share:

WATU SABA WAFARIKI , 24 HOI KWA KULA KASA ZANZIBAR

Watu saba wamefariki dunia na wengine 24 wakipigania maisha yao katika hospitali moja kisiwani Pemba baada ya kula nyama ya kasa. Kimsingi,kasa wa baharini huliwa na watu wengi katika ufukwe wa bahari lakini inasadikiwa kuwa ule ambao wakazi wa Msuka Taponi Wilaya ya Micheweni Pemba walikula ulikuwa...
Share:

WATU 6 WA FAMILIA MOJA WAPOFUKA GHAFLA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI

Wakazi wa kijiji cha Thim Jope, Uriri, kaunti ya Migori nchini Kenya wamepigwa na bumbuwazi baada ya watu wa familia moja kupofuka katika hali tatanishi. Katika kisa kisichokuwa cha kawaida, Hellen Achieng' na wanawe wanne wenye umri wa kati ya miaka saba na 24 walipofuka ghafla kabla ya kukimbizwa...
Share:

ROSE MANUMBA TRUST YAWAPA NEEMA VIJANA 11 KUTOKA VETA

TAASISI ya Rose Manumba Trust kwa kushirikiana na Give A Future Foundation kupitia program ya 'Jiajiri' wamekabidhi vifaa vya ufundi kwa wanafunzi kumi na moja waliopata mafunzo kutoka Mamlaka ya Elimu na Mafuzo ya Ufundi stadi VETA Chang'mbe, Donbosco na St. Gasper ikiwa ni sehemu ya kuwasaidia...
Share:

HR Business Partner at KCB Bank Tanzania Limited

HR Business Partner Reference Number: IRC11668 Job Summary: Leads and manages the organization’s HR strategies and agenda in partnership with line management. Leads the change management projects and manages the HR related internal and external communication. Shares the responsibility for the delivery of the organization’s strategies and plans. Identifies key, high performing and high potential […] This...
Share:

Regional Programme Managers 6 Job Opportunities at Deloitte

Regional Program Managers (Ref: C3HP/RPM/12-21) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government of Tanzania’s (GOT) […] This...
Share:

Monitoring, Evaluation & Learning Officers 18 Job Opportunities at Deloitte

Monitoring, Evaluation & Learning Officers 18 Posts (Ref: C3HP/MELO/12-21) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the […] This...
Share:

Assistant Accountants 8 Job Opportunities at Deloitte

Assistant Accountants   Assistant Accountant (Ref: C3HP/AA/12-21) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government […] This post...
Share:

Drivers 28 Job Opportunities at Deloitte

Drivers 28 positions   Driver (Ref: C3HP/DRV/12-21) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government of […] This post Drivers...
Share:

Tamko Kuhusu Hatua Ya Kujikinga Dhidi Ya Tishio La Wimbi La Nne La Maambukizi Ya Ugonjwa Wa Uviko-19 Nchini

Serikali ya Tanzania imesema kuna tishio la kutokea wimbi la nne la ugonjwa wa Uviko-19 kutokana na viashiria vitatu vilivyotajwa kuwa ni pamoja na ongezeko la visa vipya na aina mpya ya virusi  katika baadhi ya nchi duniani. Hayo yamesemwa Jumamosi, Novemba 27, 2021 na Mganga Mkuu wa Serikali,...
Share:

Rais Samia na Rais Museven wa Uganda washiriki kufunga Kongamano la Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Uganda Ikulu jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, wameshiriki Kongamano la Wafanyabishara wa Tanzania na Uganda, lililofanyika jana tarehe 28 Novemba, 2021 katika viwanja vya Ikulu                Jijini...
Share:

Tanzania Yashiriki Mkutano Jukwaa La Ushirikiano Kati Ya China Na Afrika

Na mwandishi wetu, Dakar Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ulioanza tarehe 28 hadi 30 Novemba 2021 jijini Dakar nchini Senegal. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata...
Share:

Administrative Officer at Deloitte

Administrative Officer (Ref: C3HP/AO/12-21) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government of Tanzania’s (GOT) Ministry […] This...
Share:

Database Manager at Deloitte

Database Manager (Ref: C3HP/DBM/12-21)   Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government of Tanzania’s (GOT) […] This post...
Share:

Executive Assistant at Deloitte

Executive Assistant (Ref: C3HP/EA/12-21) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Comprehensive Client-Centered Health Program HIV/TB LOC (C3HP) in Southern regions in Tanzania. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government of Tanzania’s (GOT) Ministry […] This...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger