Afisa Masoko wa Kampuni ya Brotherhood Survey Services Company Limited, Victoria Mahindi akionesha ramani mahali ulipo mradi wao wa uuzaji wa Viwanja ‘Diamond City Project’ katika kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Brotherhood Survey Services...
Saturday, 31 July 2021
Maelekezo 10 ya Waziri Ummy kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa...
AFARIKI AKILALA NA JIKO LA MKAA KIBANDANI KUWAHI WATEJA

Na Amiri Kilagalila,Njombe
Editha Mangita (40) mkazi wa mtaa wa Matema kata ya Maguvani mjini Makambako amefariki dunia baada ya kujifungia na jiko la mkaa katika kibanda chake cha biashara.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamisi Issa amesema tukio hilo limetokea Julai 28,2021 ambapo...
TAZAMA HAPA ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA CHANJO YA CORONA KATIKA MIKOA YOTE TANZANIA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Prof.Abel Makubi akionesha chanjo aina ya Jonson Jonson kwa Wana habari.
**
Baada ya taasisi tano zilizo chini ya wizara ya afya kufanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa chanjo za Johnson & Johnson ni salama kutumika kwa Watanzania,...
Friday, 30 July 2021
WANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO KUPIMA AFYA MAONESHO SHINYANGA
Shughuli za upimaji afya zikiendelea kwenye banda la Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto katika Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto kinachomilikiwa na Kanisa la Africa Inland Church...
RAIS SAMIA AMTEUA MATIVILA KUWA MTENDAJI MKUU WA TANROADS, PROF. MGAYA MWENYEKITI TAFICO

Rais Samia leo Julai 30, 2021 amemteua, Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) na amemteua, Prof. Yunus Daudi Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uvuvi la Tanzania (Tanzania Fisheries Corporation-TAFICO) Uteuzi huo umeanza leo Julai 28, 20...
TANZANIA U-23 MABINGWA CECAFA 2021

Timu ya Taifa ya Tanzania imtwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la Chalenji ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 kwa mwaka 2021.
Tanzania ilikuwa ikipepetana na Burundi ambapo matokeo yalikuwa suluhu ya bilabial katika dakika 90 hivyo...
WAZIRI KALEMANI AAGIZA WAKANDARASI KUPELEKA UMEME KATIKA MAENEO YA VIWANDA VIJIJINI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani(Kulia) akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango(kushoto) wakati wa uzinduzi wa Mradi wa umeme wa Ujazilizi Fungu la Pili A Ngazi ya Mkoa uliofanyika wilayani Same, Julai 29,2021.
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akizungumza na wanafunzi wa...