Sunday, 29 November 2020

Wafugaji Na Wakulima Kunufaika Kupitia Kiwanda Cha Nyama Nguru Hills

 Na. Edward Kondela Serikali imesema katika kuboresha na kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji katika maeneo mbalimbali nchini ukiwemo Mkoa wa Morogoro, inasisitiza uwepo wa miradi ambayo itakuwa na manufaa makubwa kwa makundi yote mawili. Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia...
Share:

Waziri Mkuu Apiga Marufuku Tozo Ya Unyaufu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza waendesha maghala kuacha kukata tozo ya upungufu wa uzito wa korosho ghafi zilizohifadhiwa ghalani (unyaufu) kwa wakulima na wanunuzi kwa kuwa tozo hiyo imeshaondolewa na suala hilo halijathibitishwa kitaalamu. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Novemba 28,...
Share:

Wizara Ya Ardhi Yawashukia Wasioendeleza Viwanja Na Kulipia Kodi Ya Ardhi

 Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa rai kwa wamiliki wote wa ardhi walio na viwanja visivyoendelezwa na kulipiwa kodi ya pango la ardhi kuhakikisha wanalipia viwanja vyao ndani ya siku kumi na nne baada ya kupokea ankara ya madai na wasipotekeleza...
Share:

TETESI ZA SOKA LEO JUMAPILI NOVEMBA 29,2020

Arsenal iko tayari kumuuza winga wa Ivory Coast Nicolas Pepe ikiwa kutapatikana mnunuaji mzuri wa mchezaji huyo, 25. (Daily Star on Sunday) Mlinzi wa Barca raia wa Uhispania Gerard Pique, 33, anatumai kuwa klabu ya Nou Camp "itazungumza vizuri" na Messi ili asalie klabu hiyo. (ESPN) Kipaumbele...
Share:

HIKI NDIYO KIJIJI MAARUFU CHENYE WATU WENYE SURA MBAYA ZAIDI DUNIANI

Piobbico Itali: Kijiji kinachowasherehekea watu wenye sura mbaya zaidi duniani Kijiji kimoja kinachofahamika kama Piobbico kimekuwa maarufu kwa kuwa na watu wenye sura mbovu zaidi duniani na kwa sasa dhana hiyo imekifanya kuwa maarufu zaidi duniani. Kijiji hicho ambacho kimekuwa kikienzi utamaduni...
Share:

TIGO YAENDELEA KUKABIDHI ZAWADI ZA SIMU KWA WASHINDI MBALIMBALI WA #JAZATUKUJAZETENA

TunakabidhiTena: Tigo yaendelea kukabidhi zawadi za Simu kwa washindi mbalimbali wa #JazaTukujazeTena ambapo wateja hujishindia pia bonus za dakika, MB na SMS na kubwa zaidi kupata Simu Janja.  "Bado tunaendelea kutoa simu kwa wateja wetu ikiwa ni ishara ya shukrani kwa kuwa pamoja nasi katika...
Share:

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WABUNGE...YUMO HUMPHREY POLEPOLE

...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili Novemba 29

...
Share:

Saturday, 28 November 2020

TAMASHA LA 'SIMIYU JAMBO FESTIVAL' LATIKISA BARIADI...KILANGI ATAKA WANANCHI WASHIRIKI MICHEZO KUIMARISHA AFYA

Baadhi ya waendesha baiskeli wanawake wakiondoka eneo la kuanzia mashindano ya baiskeli kilomita 80 Salunda Mjini Bariadi, Mashindano yaliyofanyika wakati wa tamasha la Simiyu Jambo Festival liliofanyika Novemba 28, 2020 katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi. Paul Michael kutoka mkoani...
Share:

TAMWA YAONESHA NJIA YA KUMALIZA UDHALILISHAJI ZANZIBAR

Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali kisiwani Pemba wakionesha bango lenye ujumbe wa kukataa kupinga vitendo vya udhalilishaji katika viwanja vya Gombani ya kale Pemba. *** Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa kusini Pemba  Rashid Khadid Rashid ameelezea kutoridhishwa na baadhi ya watendaji...
Share:

MTATURU AANZA KUTEKELEZA AHADI ZA WANANCHI KWA KASI YA 4G

  Wachungaji na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kiaskofu Msalaba Mrefu mjini Singida, wakiwa na pikipiki walizokabidhiwa hivi karibuni na Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu kwa ajili ya kazi za kanisa hilo, Mbunge wa Singida...
Share:

TARURA YADHAMIRIA KUUNGANISHA WILAYA YA RUANGWA NA LIWALE

Ujenzi wa Daraja la Mto Mbwemkuru lenye urefu wa Mita 75 lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi linalojengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ukiwa unaendelea. Daraja hili ni mpango wa kuunganisha Wilaya ya Ruangwa na Wilaya ya Liwale kwa lengo la kurahisisha shughuli...
Share:

KAMATI YA USALAMA WILAYA YA IKUNGI SINGIDA YAKAGUA MIRADI YA ELIMU NA AFYA

  Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wakijadiliana wakati wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Elimu na Afya wilayani humo. Kamati hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wake Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo. Moja ya chumba cha darasa kilicho kaguliwa na kamati...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger