Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani akichukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita na kukagua Daraja la Mkapa linalopita katika Mto Rufiji mkoani Pwani wakati akitokea Masasi Mtwara kwenye msiba wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo tarehe 30 Julai 2020.
Daraja hilo...
Na Allawi Kaboyo Bukoba.
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi umeendelea leo julai 30 mwaka huu ili kuwapata wagombea watakao peperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 28 mwaka huu.
Jumuiya ya umoja wa vijana CCM nchini wamefanya...
Azimina Arif Amir
Azimina Arif Amir ameibuka mshindi katika uchaguzi wa kura za maoni Ubunge Viti Maalum Kupitia Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Shinyanga kwa kupata kura 13 kati ya kura 28 zilizopigwa huku Janeth Dutu akipata kura 6 na Leah Mbeke akipata kura 5.
Akitangaza...