Thursday, 31 October 2019

MAVUNDE:SERIKALI KUENDELEA KULIWEZESHA KWA UJUZI KUNDI LA VIJANA

...
Share:

Wednesday, 30 October 2019

Tahadhari Ya Mvua Kubwa Kanda Ya Ziwa

Mamlaka  ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mikoa ya Kanda ya Ziwa itakuwa na mvua nyingi na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, mikoa itakayokumbwa na mvua hizo ni Geita, Kagera, Mara na Magharibi mwa Simiyu. Aidha, kiwango cha athari kinachoweza...
Share:

Makonda awakabidhi Suma JKT ujenzi hospitali Ubungo

Kitengo cha uzalishaji mali cha Jeshi la kujenga Taifa (suma JKT), kimepewa kazi ya kujenga hospitali ya wilaya ya Ubungo. Kazi hiyo wamepewa na jana Oktoba 29, 2019 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ambaye amesema kuwa ujenzi huo unatakiwa kamilika kwa miezi mitatu. Amebainisha hayo...
Share:

Finance Business Partner – Retail Job Opportunity at CRDB Bank

Finance Business Partner – Retail CRDB Bank PLC is looking for suitable person to fill a vacant position of ​Finance Business Partner – Retail​ in the Department of Finance at the Head Office, in Dar es Salaam​. Job Purpose: To be a catalyst that will influence decision making to Retail Business and the bank as a whole. To… Read More » The post Finance Business Partner – Retail Job Opportunity at...
Share:

Wanaume Wanaonyonya Maziwa Ya Wake Zao Wapewa Onyo

Kaimu Mkurugenzi wa Lishe katika Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Moshi ametoa onyo kali kwa Wanaume wanaoendeleza tabia ya kupenda kunyonya maziwa ya Wake zao wanaonyonyesha na kuwataka kuacha mara moja kwani kufanya hivyo wanawapunja watoto. Moshi ameyasema...
Share:

Jobs Opportunities at Save the Children (2 Positions)

2 Jobs Opportunities at Save the Children Deadline 8 November 2019 TEAM/PROGRAM: Programme Operations- Tuwekeze Pamoja LOCATION: Mbozi, Songwe GRADE: TBC POST TYPE: National Child Safeguarding: Level 3 – the responsibilities of the post may require the post holder to have regular contact with or access to children or young people ROLE PURPOSE: The Tuwekeze Pamoja Programme Officer… Read More » The...
Share:

Education Specialist & Project Coordinator- Job Opportunities at Save the Children Tanzania

Education Specialist &; Project Coordinator- Job Opportunities at Save the Children Tanzania TITLE: Project Coordinator TEAM/PROGRAMME: Programme Operations LOCATION: Full time based in Dodoma Region, Tanzania GRADE: Grade 3 CONTRACT LENGTH: 1 year, renewable CHILD SAFEGUARDING: Level 3: √ the post holder will have contact with children and/or young people either frequently (e.g. once a week...
Share:

18 Jobs Opportunity at Tanzania Communications Regulatory Authority TCRA

OVERVIEW: The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a quasi-independent Government body responsible for regulating the Communications in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Act No. 12 of 2003 to regulate the electronic communications, Postal services and Broadcasting (for Mainland Tanzania only) in the United Republic of Tanzania. The Authority...
Share:

Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi Alazwa Tena Hospitali Wiki Mbili Baada Ya Kutoka

Rais  wa Zamani wa Kenya, Arap Moi  amelazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya Nairobi na madaktari wanasema ni kutokana na maumivu ya kifua na shida katika kupumua Wiki mbili zilizopita, aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo alipokuwa amelazwa huku Katibu wa Chama...
Share:

Marketing And Sales Representative Job Opportunity at Tanyi Tanzania Investment Ltd

ABOUT US Tanyi Tanzania Investment Ltd was incorporated under the companies Act 2002 section 15 of the United Republic of Tanzania on 5 th day of July the year 2017 as a Private limited by Share Company. The company is now engaged in a variety of agricultural and trade activities. In near future, TANYI has the plan to… Read More » The post Marketing And Sales Representative Job Opportunity at Tanyi...
Share:

Administrator :M-PESA Agents Job Opportunity at Vodacom Tanzania

Administrator: M-PESA Agents Dar Es Salaam JOB PURPOSE The M-PESA Agent Administrator will be responsible to assist the M-PESA support Managers deliver against M-PESA revenue targets through effective management of the M-PESA agent network. KEY ACCOUNTABILITIES 1.Daily M-PESA agent network support including agent contract processing, stock management, float monitoring, fraud activity monitoring,...
Share:

Vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) Vyapewa ONYO

Na Mwandishi wetu, Mihambwe Vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) vimepewa onyo viwe makini zaidi kiutendaji kazi msimu huu  wa Korosho wa mwaka 2019/2020 ili kutokurudia makosa yaliyojitokeza msimu uliopita. Hayo yamebainishwa na Afisa Tarafa Mihambwe Ndugu Emmanuel Shilatu wakati alipotembelea...
Share:

Wananchi waliovamia Mpaka wa Tanzania na Zambia Watii Agizo la Rais la Kubomoa

Zaidi ya asilimia 80 ya Wananchi waliovamia Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Tunduma wametii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na kubomoa majengo na vibanda vyao ili kuacha Mpaka wazi. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ameyasema hayo mara...
Share:

Mwenyekiti Tume Ya Madini Afanya Ziara Dodoma

Na Greyson Mwase, Dodoma Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amefanya ziara Wilayani Dodoma Mjini lengo likiwa ni kukagua shughuli za uchimbaji wa madini  ya ujenzi pamoja na kutatua kero mbalimbali. Katika ziara yake Profesa Kikula aliambatana pamoja na Afisa Madini Mkazi wa...
Share:

Taarifa Kwa Umma: Usitumie Progaramu Za Simu,Whatsap Zilizoghushiwa Kuwa Za NIDA

...
Share:

Dr Gwajima: Tusimhujumu Rais, Komesheni Ubadhirifu wa Dawa

Na Atley Kuni- TAMISEMI. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka Wafamasia wa Mikoa kote nchini kupambana na kukomesha watu wanaofanya ubadhilifu wa dawa zinazotolewa na serikali kwenda kwenye sehemu za kutolea huduma za afya sambamba na...
Share:

Maambukizi Ya Vvu Yapungua Kwa Asilimia 2.3

Na WAMJW- DSM Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa maambukizi ya VVU yamepungua kutoka asilimia 7 mwaka 2003/4 hadi asilimia 4.7 mwaka 2016/17. Waziri Ummy amesema hayo jana wakati wa mkutano wa kujadili maendeleo ya utekelezaji wa sera ya pamoja...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger