
Kipa Klaus Kindoki amepangua penalti mbili na kuiwezesha Yanga SC kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji, Alliance FC kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 jioni ya leo Uwanja...