
Wengi walimfahamu Ruge Mutahaba kama mdau mkubwa wa burudani, lakini kifo chake kimeibua mengi makubwa aliyofanya nje ya nyanja hiyo.
Kutoka siasa, ujasiriamali, michezo, afya, mazingira, uchumi, utafutaji fursa hadi kujenga fikra chanya za maisha ni mambo yaliyoibuka baada ya kifo chake kilichotangazwa...