Kama kawaida yetu maswayetu blog tunakupa kitu roho inapenda,yafuatayo ni majina ya wanafunzi kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga JKT kwa mujibu 2018
Kuyaona majina hayo bonyeza hapo chini kwa kambi unayoenda,
MAjina wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga jkt2018
BULO...
Wednesday, 23 May 2018
Tuesday, 8 May 2018
MPYA:BODI YA MIKOPO IMETANGAZA RASMI SIFA NA VIGEZO VYA KUOMBA MKOPO 2018/2019
IMPORTANT NOTICE TO ALL LOAN APPLICANTS FOR 2018/2019
This is to inform all expected loan applicants (new and continuing students) for 2018/2019 that our online loan application window will be open from Thursday,May 10th, 2018 to Sunday, July 15th, 2018.
For now, expected loan applicants...
Sunday, 15 April 2018
BREAKING NEWS:BODI YA MIKOPO IMETANGAZA MAOMBI YA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2018/2019
HESLB Online Loans Application Management Information System
Home
Instructions
Register
Login
HESLB is happy to announce another Loan Application
Cycle for academic year 2018/19.
Application window for academic year 2017/18 opens
on 1st May, 2018 through 30th May, 2018.
All applicants are advised to read guidelines...
Thursday, 12 April 2018
MWONGOZO NA USHAURI WA KOZI ZENYE SOKO KULINGANA NA MCHEPUO WAKO(COMBINATION) ZA KUCHAGUA/KUSOMEA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2018-2019
MWANZO
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunifanya
kuwa hai siku hii ya leo na kuandika mambo yenye faida kwa wadogo zangu kidato
cha sita mwaka 2018.
Vitu nitakavyozungumzia;
1.Aina ya kozi nzuri ya
KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level uliosomea
2.Marketable course in
terms of Employment opportunities
3.Future market ya kozi
husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama...